Hivi kuna wanawake wazuri wa kuoa humu JF

Kwa hiyo sisi wabaya ,tuna sura mbaya ,,,haya sasa tatizo na nyie wabahili mno,mna maneno mengi mno mpaka tunawachoka,jana kuna kuna mkaka nilionana nae akanipenda akanipa laki ya nauli,,ninapoenda ni buku tu kwa boda kama daladala ni 400
Wanawake hatupendi maneno mengi huwa yanatuvuruga aisee
 
Tangia nimejiunga na jf nina miaka 5 sasa jf
Mpaka sijawahi hata kwa bahati mbaya kukutana na mwanamke mzuri humu jf
Kila nae kutana nae sio mzuri wa sura wa shep!!
Na kitu kimoja tulichobakiwa na kupewa sisi Wanamme ni kuoa tena wale tunaowapenda tofauti na Wanawake wao wanasubiria wito toka kwetu....
Imenifanya nijipange upyaaaa na kugaili kuoa....
Mkuu uko sahihi kwa kweli ila sio wote wapo ambao kwa kiasi fulani wapo vizuri kichwani na muonekano....yaani standard,ila nafikiri bado hawajapata mwanaume serious wengi wababaishaji tuu
look at
Sakayo
hutapenda kuchoka kuwa nae au kumsikiliza,she is also full bright,ana Vision na usijidanganye kumdanganya kijinga jinga,she is excellent brilliant and intellectual woman,umbo lake ni la kawaida tuu but la kike,hapendi kudanganywa,wal ujinga, inawezekana wengine pia wapo hivyo but nimemtolea mfano yeye...
yupo Muheza Tanga.ana Bachelor degree but anajielewa,ana heshima na Kumtambua mwanaume..
 
Eeeeh
Tena na mioyo yetu tumeikata na kupeana nusu yangu kwake
Na nusu yake imeingia kwangu.

Kwahiyo habari ndio hiyooo
Aiseee kumbe kuna watu wanakutamani humu....tena wengine wanadondosha mate kwako....mi kuna mwingine alikuwa ananiambia anashindwa akuanzaje anahisi wewe una mtu nikamwambia akufuate Pm tuu,akili yake yote ipo kwako
cocochanel
huwa unamchanganya sana sana kwa michango yako...
 
Mkuu uko sahihi kwa kweli ila sio wote wapo ambao kwa kiasi fulani wapo vizuri kichwani na muonekano....yaani standard,ila nafikiri bado hawajapata mwanaume serious wengi wababaishaji tuu
look at
Sakayo
hutapenda kuchoka kuwa nae au kumsikiliza,she is also full bright,ana Vision na usijidanganye kumdanganya kijinga jinga,she is excellent brilliant and intellectual woman,umbo lake ni la kawaida tuu but la kike,hapendi kudanganywa,wal ujinga, inawezekana wengine pia wapo hivyo but nimemtolea mfano yeye...
yupo Muheza Tanga.ana Bachelor degree but anajielewa,ana heshima na Kumtambua mwanaume..
Aisee
 
[i][b]Sakayo[/b][/i] hii habari ni ya kweli?
 
Tangia nimejiunga na jf nina miaka 5 sasa jf
Mpaka sijawahi hata kwa bahati mbaya kukutana na mwanamke mzuri humu jf
Kila nae kutana nae sio mzuri wa sura wa shep!!
Na kitu kimoja tulichobakiwa na kupewa sisi Wanamme ni kuoa tena wale tunaowapenda tofauti na Wanawake wao wanasubiria wito toka kwetu....
Imenifanya nijipange upyaaaa na kugaili kuoa....
Kwanii
Umeshakutana na agata edward mkuu??
 
Mkuu uko sahihi kwa kweli ila sio wote wapo ambao kwa kiasi fulani wapo vizuri kichwani na muonekano....yaani standard,ila nafikiri bado hawajapata mwanaume serious wengi wababaishaji tuu
look at
Sakayo
hutapenda kuchoka kuwa nae au kumsikiliza,she is also full bright,ana Vision na usijidanganye kumdanganya kijinga jinga,she is excellent brilliant and intellectual woman,umbo lake ni la kawaida tuu but la kike,hapendi kudanganywa,wal ujinga, inawezekana wengine pia wapo hivyo but nimemtolea mfano yeye...
yupo Muheza Tanga.ana Bachelor degree but anajielewa,ana heshima na Kumtambua mwanaume..
Noted
 
Back
Top Bottom