Hivi Kuna uwezekano wa kuzipata fedha zilizofichwa na mafisadi nje ya nchi?

Mpunilevel

JF-Expert Member
Sep 14, 2015
3,140
1,871
Inasemekana mafisadi wamepora fedha nyingi toka serikalini na kuzificha nje ya nchi.
Naamini fedha hizo zinafaidisha hayo mataifa.
Pengine mabenki hayo huja kutukopesha pesa hizo kwa mashariti magumu, sina hakika.

Si mzoefu wa sheria za fedha kimataifa zinasemaje kuhusu pesa iliyoibwa na kufichwa nje ya nchi.

Nionavyo mimi mapesa hayo kama yapo na yakilejeshwa yatasaidia sana huduma za kijamii, na nchi kuelekea kujitegemea.
Ukizingatia vision ya serikali ya awamu ya tano.
Naomba wajuzi wa masuala ya fedha mtujuze kwa faida ya jamii nzima.
Naomba Michango yenu.

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom