Hivi kuna utaratibu wa mawasiliano kati ya Viongozi wa Mikoa na Wilaya?

Rebeca 83

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
14,840
31,583
Hello JF,

Mimi leo nauliza hiviiii kuna mawasiliano ya ndani kwa wakuu wa mkoa labda wa mikoa tofauti kuwasiliana? au wakuu wa wilaya moja kwenda nyingine?

Kuwasiliana nimemaanisha kuona na kuuliza wametatuaje changamoto zao katika wilaya/mikoa yao ama jinsi walivyogundua opportunities

Ninauliza hivi kwa sababu kwa nini wakuu wengine wanaonekana kazi zao tunawaona halafu wengine hawajulikani kabisa?

Yaani ukimtaja Mtaka wa Simiyu, Makonda Dar es Salaam, Jokate majina yao yanakuja easily kwenye mind. Lakini hao wengine hata hawajulikani najua mtasema hawa wanapenda kucheza na media, lakini hii sio ticket ya hao wasiopenda media kutofanya lolote huko gizani.

Sio kwa sababu hawajulikani/hawapo kwenye media then they do NOTHING tungependa kuwaona na wao bwana. I think kile kipindi cha 'Tunatekeleza' kingekua extended kwa hawa Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya.

Mawasiliano baina yao yawe pia encouraged
 
Back
Top Bottom