Hivi kuna umuhimu gani wa kuvaa chupi au boksa.

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Oct 23, 2016
2,050
3,658
Hapo vip!!

Kunajamaa angu mmoja na nimebishanae sana eti ameniambia sometime yeye kunasiku anapiga misele yake akiwa amevaa suruale tu pasipo kuvaa chupi au boksa ni nijamaa wa dar.Nikawa nambishishia kwasabababu sio kitu cha kawaida.

Binafsi mimi mwenyewe siwezi kuvaa suruali bila boksa.

Hivi hii chupi kwa wakina Dada na boksa kwa wanaume inasaodia nni kwa nini tusivae suruale ili badushe yarelux kama jamaa anavyonishawishi hapa.

Dah!! But nakumbuka sometime inasaidia coz unaweza ukakaa Karibu na mtoto wa ukweli alafu mtarimbo ukaaza zingua,sasa huwa Mimi naingiza mkona nalikunjia kwa juu alafu boksa inabana kwasasababu nikiacha inaoneka kabisa jamaa anataka kutoboa suruali.

Wewe huwa unafanyaje ktk hii situation...
 
Acha Chupi tu, Nguo zote ni Utamaduni tulio rudufu kutoka kutoka Mataifa yalioendelea sisi tulikuwa tunavaa Masegere yaliyotengenezwa kwa majani au ngozi za Wanyama na Maisha yalikuwa yanaenda swadakta kabisaa hivyo kuondoa kustarabika hakuna jingine la ajabu, Mfano hadi leo hii Wamasai Halisi wanavaa Mashuka bila Chupi huku wakifukazana na Mtamba hadi wanaushika Mkia ss ingekuwa ww si ndo ungegeuka Dungadunga!
 
unaweza inama tako likawa nje afu wa nyuma yako akadisa..boxa muhim, unaweza shikwa na haja ukiwa katika harakati zako, ukachamba suruali ikaloa kwa nyuma, aaagh kutembea tubeless labda katika mazingia ya ndani tu aissee, kwanza ni dalili za ngese ukishikwa tako utapigana?
 
Boxer inanisaidia kustili dushe. Maana kuna wakati linakosa ustarabu,linataka kuinuka nikiwa job, sasa naliweka sawa ndani ya boxer kwanza.

Kwa wale marijali, mnajua harakati za dushe ndani ya boxer anapokuwa ame-sense vitu vizuri.
 
Hapo vip!!

Kunajamaa angu mmoja na nimebishanae sana eti ameniambia sometime yeye kunasiku anapiga misele yake akiwa amevaa suruale tu pasipo kuvaa chupi au boksa ni nijamaa wa dar.Nikawa nambishishia kwasabababu sio kitu cha kawaida.

Binafsi mimi mwenyewe siwezi kuvaa suruali bila boksa.

Hivi hii chupi kwa wakina Dada na boksa kwa wanaume inasaodia nni kwa nini tusivae suruale ili badushe yarelux kama jamaa anavyonishawishi hapa.

Dah!! But nakumbuka sometime inasaidia coz unaweza ukakaa Karibu na mtoto wa ukweli alafu mtarimbo ukaaza zingua,sasa huwa Mimi naingiza mkona nalikunjia kwa juu alafu boksa inabana kwasasababu nikiacha inaoneka kabisa jamaa anataka kutoboa suruali.

Wewe huwa unafanyaje ktk hii situation...
kama una kibamia ya nini ujitie migarama ya chupi au boxa?sisi wenye mizigo ya maana ndio tunavaa hizo vitu kuzuia kurupushani ya hizo vyombo maana ukitembea inaenda kulia mara kushoto...kulia mara kushoto, hata ladies kama ni flat screen jivalia kisket chako tu kwakuwa hakuna hata anayejisumbua kukuangalia your all alone,ni kama unatembea usiku wa kiza totoro hakuna anayekuona so don't bother
 
Hapo vip!!

Kunajamaa angu mmoja na nimebishanae sana eti ameniambia sometime yeye kunasiku anapiga misele yake akiwa amevaa suruale tu pasipo kuvaa chupi au boksa ni nijamaa wa dar.Nikawa nambishishia kwasabababu sio kitu cha kawaida.

Binafsi mimi mwenyewe siwezi kuvaa suruali bila boksa.

Hivi hii chupi kwa wakina Dada na boksa kwa wanaume inasaodia nni kwa nini tusivae suruale ili badushe yarelux kama jamaa anavyonishawishi hapa.

Dah!! But nakumbuka sometime inasaidia coz unaweza ukakaa Karibu na mtoto wa ukweli alafu mtarimbo ukaaza zingua,sasa huwa Mimi naingiza mkona nalikunjia kwa juu alafu boksa inabana kwasasababu nikiacha inaoneka kabisa jamaa anataka kutoboa suruali.

Wewe huwa unafanyaje ktk hii situation...
Duuh!kwan pan umuhim gan
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom