Hivi kuna uminyaji wa Demokrasia kama CCM?

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,244
7,966
Inapotokea mbunge wa CCM anafariki, ni kwanini CCM hupeleka watoto wao kurithi nafasi hizo ili kupata mgombea wao? Inamaana hua hakuna watu wenye uwezo zaidi ya vigogo hao? Huu ni uonevu uliokthiri na unakiuka katiba ya chama hicho.


Ndio maana hawataki katiba mpya hawa.Huu ni udhihirisho mojawapo.
 
Back
Top Bottom