Hivi kuna umhimu tena wa kutafuta Elimu na kusoma?

Bora taifa lenye watu walioelimika kuliko lenye watu wajinga.
Ujasiriamali utafanywa kwa weledi kutokana na elimu.
Sio lazima kila aliyeelimika aajiriwe na kama taifa inabidi tubadili mtazamo wetu, tutumie elimu kujikimboa kiuchumi Kwa kujiajiri.
Kuelimika siyo kwenda darasani na kusoma vitabu vya English and chemistry au history. Ni zaidi ya hapo. Kuna mtu kauliza elimu gani formal au informal? Nimegundua watu wengi hawavijui hivi vitu ndo maana wabakazana tu- Elimu ina manufaa nk. Lkn akiulizwa elimu ni nini...... hakuna jibu
 
Bora taifa lenye watu walioelimika kuliko lenye watu wajinga.
Ujasiriamali utafanywa kwa weledi kutokana na elimu.
Sio lazima kila aliyeelimika aajiriwe na kama taifa inabidi tubadili mtazamo wetu, tutumie elimu kujikimboa kiuchumi Kwa kujiajiri.
Kwani mjasiriamali anahesabika mjinga? Kuondoa ujinga si kwenda shuleni tu- weledi siyo vidato au vyuo
 
Unaweza kusomea ualimu kwa lengo la kuja kuwa mtunzi mzuri wa vitabu vya madomo uliyosomea huku ukiingiza na content za kuwasaidia wanafunzi kama walivyokuwa wanafanya kina Kadeghe.

Au kuja kufungua ki nursury chako ili uweze kuki manage vizuri. Lakini pia unaweza kuwa na malengo ya kusomea ualimu ili uje kufanya biashara ambayo wateja wako wengi zitakuwa ni shule ili unawatembelea kuwatangazia hiyo biashara uwe deep.

Tuache mawazo m

Tuache mawazo mgando
Hayo maisha kibongobongo ni kubahatisha. Kama mtu angekuwa na Hilo wazo kabla ya kwenda kusoma ndio ningejua yuko siriaz lakini kibongobongo watoto wenu wanaenda kule mwishoni ndio wanakuja kutapatapa na kujikuta umri umeshaenda wanaishia kuuza chips mtaani.
 
Kwani mjasiriamali anahesabika mjinga? Kuondoa ujinga si kwenda shuleni tu- weledi siyo vidato au vyuo
Kwa Tz tuna vita (mbiu ya kisiasa) juu ya ujinga (kutokuwa na elimu), maradhi na umadkini.
Mjasirismali atakuwa na ujinga kama hakwenda shule, sio lazima vidato au vyuo kama ulivyoweka, bali kusoma, kuhesabu na kuandika.
 
Nami nilimaanisha hilo, siyo mpaka kwenda huko form five au Chuo. Na haimaanishi asiyeenda atakuwa mjinga. Lakini wabongo tunafanya hivyo?
 
Back
Top Bottom