mwembemdogo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 2,282
- 1,252
Wajuzi wa mambo naomba Kwa mnaoelewa mambo je Kwa siasa za Nchi Yetu Tanzania inawezekana kufanya siasa ukiwa Mlokole?Inaniwia vigumu kuamini kama inawezekana kufanya siasa kwani siasa hasa za Kitanzania zimejaa dhambi chuki uongo dhuruma Na kila aina ya dhambi ikiwemo ushirikina rushwa n.k?