Paul Alex
JF-Expert Member
- Jul 14, 2012
- 4,240
- 9,527
Dhana ya uongozi nayoiamini mimi ni pale viongozi wanapowajibika kama system.
Mfano: kukiwa na tatizo la mwanafunzi mmoja au wawili kwa Waziri kuingilia kati labda tatizo hilo liwe na dalili za kiwa epidemic.
Unless otherwise, hakuna sababu ya viongozi wa juu kujiingiza moja kwa moja kwenye adhabu za wanafunzi.
Psychologically sio afya kwa kijana aliyekosea kuona anaadhibiwa na serikali hasa kama kosa lenyewe ni la kawaida.
Jamii itamchukulia kama mtu aliyeshindikana na hata yeye anaweza kujiweka kwenye kundi la watu walioshindikana.
Au anaweza asiweze kusurvive hiyo attention ya kiadhibiwa na viongozi wakubwa.
Hawa viongozi wa wilaya, mikoa na mawaziri bado wana majukumu mengi tu yakimaendeleo na kiuongozi katika jamii.
Wanamajukumi pia ya kuleta ubunifu na kuchochea ubunifu.
Kwangu hainiingii akilini kuona DC au RC anafanya kazi ya mwalimu wa zamu.
Hii inaonyesha kufeli kwa dhana ya uongozi.
Makosa ya wanafunzi tunayoyaona leo ma RC au ma DC wakiyafanyia kazi, mengi wala hayahitaji bodi ya shule kuchukua hatua.
Kuna mwalimu wa zamu, mwalimu wa nidhamu, mwalimu mkuu!!
Kushindwa kuwaongoza hawa ni kushindwa kwa dhana ya uongozi.
Makosa ya wanafunzi hayawezi kuisha na wala hayatakaa yaishe maana ni sehemu ya kukua kwao.
Ukiona shule ina wanafunzi wote wasiotenda makosa ujue hapo kuna tatizo!
Lazima wakosee ili wajifunze.
Kushughulikia matatizo ya wanafunzi kama unashughulikia ujambazi ili kuutokomeza ni dhana mbovu!