Hivi kuna ulazima wa bunge la bajeti kukaa miezi mitatu kujadili mapato na matumizi ya mwaka mmoja?

Afadhali wangekaa hiyo miezi 3 wakaleta bajeti HAI, lakini wao wanaleta bajeti HEWA, makusanyo hayapo mengi wanategemea kupewa na wafadhili na hawajui watapewa lini, kila wizara bejeti inayopitishwa haitoki hata nusu mpaka wanaenda kujadili tena bajeti ya mwaka mwingine...Ndio maana liliitwa dhaifu..wanajadili FUTUHI.
 
Back
Top Bottom