Hivi kuna ulazima kuwa na urafiki na mpenzi ambaye mlishaachana?

Mambo mengine shirikisha HALMASHAURI ya kichwa chako, sisi wengine hatujui mlivyoishi, mna yapi ya kukumbuka katika mahusiano yenu nk, so malizaneni wenyewe.
Hivi mlishaachana labda kwa amani au mijeledi alafu ikatokea baadae ex wako akaja kukuomba samahani labda alikutukana au vitu km hivyo hadi kuachana. Alafu ukamwambia nishakusamehe uwe na maisha mazuri hata Mimi nimeshaoa/olewa alafu akwambie basi tuwe tu marafiki nitumie picha whatsapp.. Mtu mlishaachana kuna ulazima wakuwa marafiki??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unataka ushauri ili iweje? Kwani watu kurudiana ni ajabu au?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio lazima kuwa rafiki na ex wako, cha ulazima muwe na AMANI kati yenu hata mkikutana njiani kwa bahati mbaya msalimiane...Katika maisha huwezi kujua kesho yenu ikoje kuna baadhi ya ex wanajua ubora wako (sio kitandani) wanaweza kukupasia dili/kazi ili upate ngawira kidogo...imani yangu ipo kwenye kuachana kwa amani maana hatujui kesho yetu inasema nini kuliko kuendeleza hasira ukaja kosa mchongo
 
Urafiki na Ex wakazi gani? Aisee kila mtu abebe hamsini zake.

Ni vizuri zaidi kusiwe na mawasiliano ya aina yoyote na ex ili asije akakuharibia your current relationship. Kama anataka sana ukaribu na wewe asingekuacha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna ile unakuta hamkuachana as such, ni kwamba tu mlipotezana au mawasiliano yalikatika labda mmoja alihama mkoa then akaibiwa sim na vitu kama ivyo.. Hii hua inanoga sana siku mkija kukutana instagram aisee mnaanza upyaaaaaa! 😄
 
Hivi mlishaachana labda kwa amani au mijeledi alafu ikatokea baadae ex wako akaja kukuomba samahani labda alikutukana au vitu km hivyo hadi kuachana. Alafu ukamwambia nishakusamehe uwe na maisha mazuri hata Mimi nimeshaoa/olewa alafu akwambie basi tuwe tu marafiki nitumie picha whatsapp.. Mtu mlishaachana kuna ulazima wakuwa marafiki??
Kama mliachana vizuri si kwa ugomvi, mfano sababu ya umbali, kuwa marafiki haina shida. Ila kama mliachana kwa magomvi na kashfa, kuna mtego hapo. Haifai kbs. Kaa mbali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom