Hivi kuna ulazima kuwa na urafiki na mpenzi ambaye mlishaachana?

Mehek

JF-Expert Member
Feb 26, 2017
7,474
10,418
Hivi mlishaachana labda kwa amani au mijeledi alafu ikatokea baadae ex wako akaja kukuomba samahani labda alikutukana au vitu kama hivyo hadi kuachana. Alafu ukamwambia nishakusamehe uwe na maisha mazuri hata Mimi nimeshaoa/olewa alafu akwambie basi tuwe tu marafiki nitumie picha Whatsapp. Mtu mlishaachana kuna ulazima wa kuwa marafiki?
 
Sio Lazima
If it was for Good/Bad hamnaa haja ya kuwekeana vinyongo kusudi kupunguza hating Capacity(MONRACE ) japo sio lazima kuwa in contact Again
 
Kuna daktari mmoja alinitukana-ga sana akaniacha miaka kadhaa iliyopita nikawa mpole tu, siku za hivi karibuni naona anarudi kwa kasi ya 5G huku akiomba msamaha tuyajenge.

Nimemjibu............................

Kiporo cha puchi hakijawahi kuchacha hata!
 
Hivi mlishaachana labda kwa amani au mijeledi alafu ikatokea baadae ex wako akaja kukuomba samahani labda alikutukana au vitu km hivyo hadi kuachana. Alafu ukamwambia nishakusamehe uwe na maisha mazuri hata Mimi nimeshaoa/olewa alafu akwambie basi tuwe tu marafiki nitumie picha whatsapp.. Mtu mlishaachana kuna ulazima wakuwa marafiki??
Hivi nawe ulibadili ID? Munkari
 
Wakati mwengine urafiki ni mzuri kuliko hata mapenzi. Binafsi siwezi kufanya biashara na mpenzi lakini nafanya na wanawake wengi tu kwa sababu ni marafiki. Siku ukinambia unanipenda basi nimekuondoa kwenye list ya kufanya biashara nawe.
 
Hivi mlishaachana labda kwa amani au mijeledi alafu ikatokea baadae ex wako akaja kukuomba samahani labda alikutukana au vitu km hivyo hadi kuachana. Alafu ukamwambia nishakusamehe uwe na maisha mazuri hata Mimi nimeshaoa/olewa alafu akwambie basi tuwe tu marafiki nitumie picha whatsapp.. Mtu mlishaachana kuna ulazima wakuwa marafiki??

Eeh kuwa marafiki muhimu sii inasaidia katika kupasha kiporo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom