Hivi kuna uhusiano wa karibu kati ya kusoma sana (e.g phd, professor, masters) na kipato(income)??

Mbona mimi naona baadhi ya wachangiaji wanachangia vizuri ila wanaikwepa mada yenyewe.
Je kusoma sana ni kuwa na PhD, Masters, Uprofesa tuu? au ni kuongeza ufahamu tuu?
Tunapozungumzia kipato kikubwa tunamaanisha ukubwa wa kiwango gani?j
Je tunatofautisha mshahara(uajiriwa) au ujasiriamali(uwekezaji)?
 
I salute your comment sir.
lakini suala langu ni kuhusu hawa maspecialist/wasomi per say mbona life lao sometimes taiti katika mazingira yetu contrary na mategemeo na wanakuwa frustrated sana coz wanaamini elimu itakuwa mkombozi wa maisha au kupata kipato kizuri

Wasomi/ ma specialist kazi zao ni kulimbikiza ujuzi si mali.

Nchi zilizoendelea wanapewa tenure na kimshahara cha kuishi comfortable. Ukikuta wana vihela labda vitoke kwenye publishing au patents. Mtu kila siku yuko katika tafiti, kufundisha na kuandika papers ni vigumu kupata muda wa kujilimbikizia hela nyingi.

Ukiangalia historia ya usomi imejikita sana katika ascetism/ monasteries/ high towers ambako ujuzi ulikuwa unathaminiwa kuliko mali. In fact mali ilikuwa inaonwa kama a corrupting influence. Christianity has a whole tradition on this that is part of the reason why the Jews were so successful in banking because Christians for the longest were prevented to enter banking practically until the 1800s when some visionary bankers to the European kings decided to openly defy this rule, and the European kingdoms had enough influence and need for this money to influence a blind eye to usury. Up to now Islam does not allow usury, the whole rationale of "Islamic/ interest free banking"

Wafanya biashara on the other hand wao kazi yao ni kutengeneza utajiri. Hawana encumbering notions za "What would it mean to gain the whole world and lose your soul" to a large extent. Hawa overthink the risks involved in business kama wasomi. Na uki overthink risks in business you would not be able to go into business.

Of course this is a simplification, you have wafanyabiashara wasomi na wasio wasomi wenye mafanikio. But that was in the context of your question.
 
Back
Top Bottom