Hivi kuna uhusiano kati ya uongozi wa mtu, roho na haiba yake?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,011
144,371
Habari wadau,

Je,vitu hivi vitatu havina uhusiano?

Kwa maneno mengine,haiba na ubinadamu wa mtu unaweza ku-determine aina ya kiongozi?
 
Kweli kabisa vina uhusiano.

Mfano roho na haiba ya mgombea urais wa maisha wa chadema ndugu Lowasa ya kukwapua mali za umma ilikuwa inatupa picha jinsi gani kama angepata urais nchi hii ingekuwa pango la wanyang'anyi kila mtanzania angekuwa mwizi kwa sababu marafiki zake wote mafisadi mfano Rostam,Karamagi Bashir Awale na mkwe wake Sioi sasa hivi yupo Segerea kwa kesi ya wizi wa fedha za umma.
 
Malizia tu na haiba ya mgombea wa CCM, ACT, CHAUMA, UPDP vyote tuone ulinganifu.
 
Habari wadau,

Je,vitu hivi vitatu havina uhusiano?

Kwa maneno mengine,haiba na ubinadamu wa mtu unaweza ku-determine aina ya kiongozi?
Nadhani hii n kidogo zaidi na mimi sijui kuhusu hilo. Hata hivyo vitabu vya dini na saikolojia vnasema matendo yote ya nje, ikiwemo utu na uongozi, huanzia rohoni/nafsini mwa mtu.
 
kama unabomoa bomoa majengo ili upitishe miundombinu ya serikali bila fidia,akina mama na watoto wanalia lakini huna huruma.

kama unadhalilisha watu majukwaani.

kama wake wa viongozi uliowateua unawaandama.

lazima kuna uhusiano
 
Back
Top Bottom