wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 24,973
- 27,209
Nimeshindwa kuelewa ni mimi au na wengine ni hivyo yaani kama ukishika kitu chochote cha cha jamanii ya plastic na ukakisugua kidogo na hapo hapo ukasogeza mkono pembeni ya hicho chombo kuna hali fulani hivi unasikia kama msisimko wa vinyweleo vya mkononi hivi hii hali hua inachangiwa na nini kati ya hiyo plastic na ngozi!!