Hivi kuna uhusiano gani kati ya uongo na mafundi?

mbere

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
6,969
6,460
Hivi kwanini mafundi ni waongo sana
Hawa ni baadhi ya mafundi waliowahi nidanganya
1. Fundi rangi
2. Fundi Gari
3. Fundi ujenzi
4.fundi pikipiki
5. Fundi wa kushona nguo
6. Fundi simu
7. Fundi TV
8.fundi SAA
9. Fundu bomba
10.fundi baikeli
11. Fundi mitambo
12. Fundi viatu kushona

Fundi mungu hapendi
 
Back
Top Bottom