Hivi kuna uhusiano gani kati ya kukaa uchi na uchawi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi kuna uhusiano gani kati ya kukaa uchi na uchawi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by October, Jan 5, 2010.

 1. October

  October JF-Expert Member

  #1
  Jan 5, 2010
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 2,147
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hivi kuna uhusiano gani kati ya kukaa uchi na uchawi?

  Numekia nilishangazwa sana na khabari na matukio mbalimbali ambayo yamekuwa yakitokea na kuripotiwa na vyombo vya ajabu.

  Nilichogundua ni kwamba karibu woote wanaoripotiwa huwa uchi,

  Sasa ninachojiuliza ni kwanini wachawi hupenda kukaa uchi wanapokuwa katika shughuli zao?

  Au labda ili frequency za uchawi zikamate ni lazima mhusika awe uchi?
   
Loading...