Elections 2010 Hivi Kuna uhalali kisheria kuiapisha serikali iliyopigiwa kura na < 50% of voters

PgSoft2008

JF-Expert Member
May 15, 2008
264
73
Sina Hakika kama nafahama sheria vizuri kuhusu jambo hili. kutokana na maelezo ya NEC wapiga kura wote waliopiga kura ni chini ya asilimia hamsini ya waliojiandikisha.

najiuliza kuhusu validity ya serikali kuapishwa wakati kwa maoni yangu haiwakilisha matakwa ya watanania. nafahamu statistics vizuri sana hasa on sampling techniques na methodologies.

Je kama thinkers hatuoni kama kulikuwa na umuhimu wa kurudia zoezi la upigaji kura?
 
Badilisha kwanza Katiba, hilo jambo la less than 50% hailijui mkuu. Yenyewe inasema mwenye wingi wa kura mkuu.
 
well if JK kachaguliwa na less than 50%...koz of wale ambao hawajapiga kura....Then Mkuu Slaa na yeye atakuwa na less than 15%....duuh noma basi.....
 
Tatizo ni katiba iliyopo mkuu. Maana inaelezea idadi ya kura zilizopigwa, haielezei idadi ya walioandikisha kupiga kura.

Hivyo naungana na GeniusBrain kuwa inatakiwa ibadilishwe katiba ya Tanzania, na iwe na amri ya kila aliyetimiza umri wa kupiga kura kujiandikisha kwa lazima, na kupiga kura kwa lazima, kama wenzetu Rwanda walivyofanya. Kama mtu hakupiga kura kwa sababu zisizo za msingi anachukuliwa hatua kali za kisheria. Nasema hivyo kwa sababu kuna jamii ya watu ambao hawataki kushiriki kupiga kura, wao wanataka tu kuchaguliwa viongozi na wengine, jambo ambalo sio nzuri kidemokrasia.
 
Kumbe Mungi wakati mwingine una akili eeeeeeh m keep it up !
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom