PgSoft2008
JF-Expert Member
- May 15, 2008
- 264
- 73
Sina Hakika kama nafahama sheria vizuri kuhusu jambo hili. kutokana na maelezo ya NEC wapiga kura wote waliopiga kura ni chini ya asilimia hamsini ya waliojiandikisha.
najiuliza kuhusu validity ya serikali kuapishwa wakati kwa maoni yangu haiwakilisha matakwa ya watanania. nafahamu statistics vizuri sana hasa on sampling techniques na methodologies.
Je kama thinkers hatuoni kama kulikuwa na umuhimu wa kurudia zoezi la upigaji kura?