Hivi kuna ubaya wowote mwanaume kupewa pesa na mwanamke?

holy holm

JF-Expert Member
May 6, 2017
4,668
8,665
Kama mada inavyo jieleza kuna ubaya wowote mwanaume kupewa pesa za kutumia na mwanamke.
Maana napata wakati mgumu kuchukua pesa anayo nipa dem wangu ingawa napenda pesa..naogopa kutangazwa bure..
 
Ugumu unaoupata ni upi sasa?
 
Back
Top Bottom