Hivi kuna tofauti kati ya biashara ya Forex, kubet na ununuzi wa hisa?

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,658
20,889
Hizi biashara zote zinategemea zaidi bahati. Japo zinatofautiana kwenye kiwango cha kutegemea bahati. Zote hizi mtu anaweza kwa kiasi akatumia uchanganuzi na kuamua afanyaje biashara.
Zimetofautiana zingine zina risk kubwq kuliko nyingine.
Mi kwa maoni yangu kubet, kununua hisa na biashara ya forex viko sawasawa. Nyie wakuu mnaonaje?
 
Mbona tayari umeshajibu swali mwenyewe boss, utofauti wa hivyo vitu uko kwenye risk.ni vitu vitatu tofauti japo huja kwa sura ileile.
Na mpaka sasa hakuna biashara yenye risk kubwa kama betting hapa duniani maana yenyewe hainaga
fidia yani nikitu ambacho huwezi kukicontrol ukishaweka pesa umeweka unasubiri kupata au kukosa.
forex na hisa( stock and bonds) risk yake ni 50% maana kunaside mbili either ngoma zipande juu au zishuke tofauti na betting ambayo risk yake inaweza panda hadi 10000% fikiria mtu anafuma mkeka wa odds 600.
Mara nyingi wawekezaji wa hisa utasikia wakilalamika kuwa gawio au faida ndogo lakini sio pesa yao yote imepota.
 
Hii forex ilisababsha tuonekane vilaza ila mwshon walikubal forex n namna nyngne ya kubet tu
forex ni kubet
niliwahi kumwambiaga mtu akanikosoa sana akanioana kama kilaza
ila natumaini mpaka sasa hivi ameamini
biashara ya pesa ya kutokua na uhakika ni kubet.. wakubali wakatae
 
Umejiandaa kwa matusi? Hivi hisa mtu si anakuwa sehemu ya umiliki wa kampuni?,kwa mfano mo dewij na simba anafanya betting;?
Kuhusu forex yaani marginal trading hiyo ni kamali tu
Kuna wale wanafanya biashara ya kununua na kuuza hisa sijui ndiyo mambo ya stock exchange. Ananunua anakaa nazo kidogo anauza na kupata faida. Daily ndiyo biashara yake. anaangalia tu trend ya soko. Achana na wale wa kununua hisa kumiliki.
 
Haa unazungumzia wanaonunua hisa kwa lengo la speculation ambao hawaitaji gawio.

Hio pia nakubaliana na ww ni betting tu.
 
hahaha forex sio betting..nu trade inatakiwa uwe na uelewa na usome vizur uielewe
na huko ndio kubet sasa😂😂😂😂
kubet ni kufanya biashara ya pesa isiyo na uhakika wa kukupa faida moja kwa moja.
ila mkuu mambo mengine basi tu😂😂😂😂😂 yanafurahisha sana
 
Haa unazungumzia wanaonunua hisa kwa lengo la speculation ambao hawaitaji gawio.

Hio pia nakubaliana na ww ni betting tu.
Wakati nipo high school 2017(form five) nilisoma "Stock Exchange" kwenye commerce japo sijawahi fanya practically ila sio kubet
Note: usiseme kitu ambacho huna uzoefu nacho.
 
na huko ndio kubet sasa
kubet ni kufanya biashara ya pesa isiyo na uhakika wa kukupa faida moja kwa moja.
ila mkuu mambo mengine basi tu yanafurahisha sana
Nipe list ya vitabu vinavyofundisha jinsi ya kubet mpira ,mieleka au biko n.k na nitajie mamentor na wapi naweza kupata course na seminars.
 
na huko ndio kubet sasa
kubet ni kufanya biashara ya pesa isiyo na uhakika wa kukupa faida moja kwa moja.
ila mkuu mambo mengine basi tu yanafurahisha sana
Forex inakupa faida moja kwa moja,na hasara pia ipo..as kwenye busness hasara ni kawaida
 
Nipe list ya vitabu vinavyofundisha jinsi ya kubet mpira ,mieleka au biko n.k na nitajie mamentor na wapi naweza kupata course na seminars.
Mkuu tembelea sledi ya Wazee wenzangu wa kuweka mikeka, kule utapata kila kitu wale watu wapo vizuri sana kwenye hayo mambo ya Kubet
 
Back
Top Bottom