Hivi kuna tafauti ya Utongozaji baina yetu na wazungu ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi kuna tafauti ya Utongozaji baina yetu na wazungu ?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Genderi, Mar 20, 2012.

 1. Genderi

  Genderi Senior Member

  #1
  Mar 20, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa wale wenye uzowefu wa kutongoza wazungu na wanawake wa hapa nchi mnatueleza nini katika mada hii?
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Mar 20, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 70,354
  Likes Received: 28,042
  Trophy Points: 280
  Kwa mujibu wa tajiriba yangu hakuna tofauti yoyote ile.
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Mar 20, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,134
  Likes Received: 246
  Trophy Points: 160
  mie naona tofauti ipo, wazungu waongea kwa ishara zaidi wakati wabongo ni wanapiga neno mwanzo mwisho.
   
 4. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #4
  Mar 20, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 46,801
  Likes Received: 14,359
  Trophy Points: 280
  Kongosho hulalagi?
   
 5. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #5
  Mar 20, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,481
  Likes Received: 804
  Trophy Points: 280
  asprin hulalagi?
   
 6. i pad3

  i pad3 JF-Expert Member

  #6
  Mar 20, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,521
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  nipo naye nimemshika
   
 7. i pad3

  i pad3 JF-Expert Member

  #7
  Mar 20, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,521
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  kumbe huwajui wazungu..kwanza niambie wazungu ni watu gani?
   
 8. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #8
  Mar 20, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,905
  Likes Received: 226
  Trophy Points: 160
  Kama unasemea wazungu kama wazungu nikimaanisha kutoka huko ubeparini wanatongozeka kutokana na malengo yako, kama unataka party time haina haja ya kutongoza, wewe kamata kilaji (drinks) beba. Kama unataka kuoa, basi wewe usiwe na haraka sana za kibongo.
  Kama uko Asia, wanaamini mapenzi yanatokea tu wala hayalazimishwi. Unaweza kusota hata mwaka unamfuatilia tu hadi yeye mwenyewe atakapojikuta amekua kwenye mapenzi nawewe.
   
 9. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #9
  Mar 20, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,477
  Likes Received: 447
  Trophy Points: 180
  Wazungu ukiwasifia na kuwaambia straight kwamba unataka mchezo hawataona kama umewavunjia heshima.
  Tofauti na waafrika.
   
 10. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #10
  Mar 20, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,087
  Likes Received: 2,315
  Trophy Points: 280
  Kwa mujibu wa tajiriba yangu kuna tofauti kubwa sana ...
   
 11. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #11
  Mar 20, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,087
  Likes Received: 2,315
  Trophy Points: 280
  Naunga mkono ulichosema ...
   
 12. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #12
  Mar 20, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,586
  Likes Received: 763
  Trophy Points: 280
  Sijui kuhusu kutongoza, lkn kutongozwa haina tofauti maana nao pia kila mtu na style yake!
   
 13. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #13
  Mar 20, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,586
  Likes Received: 763
  Trophy Points: 280
  Realy? Wadada au? Angalia; wenzio wanafunguliwa case za harassment shauri zako! Ni wabongo tu ndio unaoweza kuwaambia chochote na kuwashika popote na ukawa infront of the bars!
   
 14. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #14
  Mar 20, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,477
  Likes Received: 447
  Trophy Points: 180
  What do u mean "The lucky one"?
  Can you explain in details? mhum mhum.
   
 15. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #15
  Mar 20, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,586
  Likes Received: 763
  Trophy Points: 280
  Aliyeona ndani! Details za nini?
   
 16. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #16
  Mar 20, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  .Ahaa kumbe alipita tu mbona kawaida sana ihi makitu ! Basi he z not the lucky 1
   
 17. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #17
  Mar 20, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,188
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 145
  Wazungu wanatongoza wakiwa wamekaa na sisi huwa tunatongoza tukiwa wima!
   
 18. SALOK

  SALOK JF-Expert Member

  #18
  Mar 20, 2012
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 2,377
  Likes Received: 586
  Trophy Points: 280
  Nyie mliosema kuna tofauti, hebu wekeni hapa tongozo za kibongo na za wazungu tuone tofauti!
   
 19. SALOK

  SALOK JF-Expert Member

  #19
  Mar 20, 2012
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 2,377
  Likes Received: 586
  Trophy Points: 280
  Mie uzoefu wangu nimeusahau nyumbani, ngoja niufuatilie nije kumwaga maujanja hapa!
   
 20. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #20
  Mar 20, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,134
  Likes Received: 246
  Trophy Points: 160
  Nitalalaje wakati uko bar, nakusaka huko huko.

  ODM akikusikia:hand:

  Wenye nywele laini, pua ndefu na rangi ya pink

  Umeonaee, mtu hasemi saana
  anakuwa bize na vigift mara chocolate, mara perfume, mara maua, mara kakufungulia mlango, mara you look good.

  Wakati mwafulika, 'siku ya kwanza nilipokuona ulishika patashika yangu ya moyo, wewe ni sabuni na ubani wangu' utapigwa sound hadi basi.
   
Loading...