BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,040
- 10,460
Majiji yaliyotangulia yanazidi kupewa kipaumbele katika ujenzi wa miundombinu mikubwa hapa TZ kama flyovers, SGR miundombinu hiyo inazidi kufanya hayo majiji kuzidi kuwa bora licha ya Dodoma kupewa kipaumbele kama makao makuu ya serikali ila spidi yake ya maendeleo ni kama kinyonga.
Kuna uwezekano Dodoma kuwa jiji la mwisho kwa ubora kulinganisha na majiji mengine nchini Tanzania.
Kuna uwezekano Dodoma kuwa jiji la mwisho kwa ubora kulinganisha na majiji mengine nchini Tanzania.