Msukule Msafi
Member
- Oct 10, 2018
- 55
- 45
Habari zenu wakuu bila shaka ni wazima wa afya nina suala moja hapa linaniumiza kichwa na kukwamisha project yangu nimeandaa nimeandaa platformya e-commerce utendaji kazi wake ni ule ule wa ALIEXPRESS kwa maana amekusanisha stores and viwanda mbalimbali kuweka bidhaa zao katika website yake kisha yeye akatafuta soko
Dhumuni au nilipokwama ni issue ya usafirishaji wa bidhaa baadhi ya kampuni za usafirishaji kama FEDEX, ARAMEX na UPS nimeona wana hii huduma ila nilivyofika ofisini kwao wanasema kua hawajui issue ya intergration ya API kwenye system sasa hii inakuaje na nasolve vipi wakuu maana nilipokwamia ni hapo tu nawasilisha