Hivi kuna NENO lenye MANENO m'badala kuliko hili?

yaani kila nikikuwaza my princess huwa najisikia furaha kuwa na binti kama wewe...

mume wangu kipenzi watu8 kwa kweli ni faraja kubwa sana mwanate charminglady huwa hatusahau wazazi wake, mungu akubariki sana hakika tumelea kwa neema za mungu
 
Last edited by a moderator:
hebu geuka kwanza nikuone sura yako ndio nikujibu, au wewe unapenda kujibiwa mgongoni?
 
hebu geuka kwanza nikuone sura yako ndio nikujibu, au wewe unapenda kujibiwa mgongoni?

Wewe si ndiyo ulipaswa uijie kwa mbele ?
Kuingilia nyuma uani watafutani ? Na mlango wa mbele u'wazi ?
 
kwanza kabisa napenda kumtumia salamu my huz @C6. wimbo: my all by mariah carey. pili natuma salamu kwa familia yangu daddy watu8, mummy measkron, sista WiseLady & sweetlady. tatu na mwisho natuma salamu kwa wanachitchat woote wakiongozwa na wewe Madame B. wimbo: utamu wa Yesu by rose mhando. ujumbe:msikose kutembelea chitchat a.k.a stress free zone

Mwaaaaaaaaah lovely sister!

Salamu zimefika na zimepokelewa kwa upendo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom