Hivi Kuna mziki wowote wa Diamond mkali kuliko Kwangwaru?

Naulizia tu, Mana sioni kiukweli kabisa, na siongelei views hapa

aiseh kwangu mimi kikwosha roho yangu kutoka kwa Dai ni 🎶Inaama🎶 akimshirikisha Fally Ipupa

kuna mtoto wa Kitanga hua ananichanganya sana hasa pale ikifika sehemu ya "asa nionyeshe unanyongaje!"

hebu niitafute kwanza nipige kwenye background wakati napita zangu JF...

* - kwa kweli views kwangu haimaanishi kitu
 
Hv kwangwaru n nzuri kuliko ntampata wapi, ukimuona, ntakukumbuka/I miss you,African beauty, Marry you,Dance ft p squere, number one,shaku ft ten na nyingine nyingii
Humjui diamond ww
hapo kwenye ukimwona na ntampata wapi umemaliza kabisa mkuu

Nyie huyu jamaa anajua tumpe heshima yake ata kinafki
 
Naulizia tu, Mana sioni kiukweli kabisa, na siongelei views hapa
Ukimuona (ngoma hii kwangu uwa haizeeki)
My number 1
Baila

Nyingine wataongeza wengine. Diamond akiimba nyimbo bila lengo la kupata views na ujanja ujanja uwa ngoma zake nazielewa.
 
Hakuna Na kwangwaru niya harmonize jama kajipachika tu
'
JamiiForums-1851747025.jpg
 
Back
Top Bottom