Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 23,410
- 36,553
Mwaka wa fedha wa gavamenti si ni wa7? Ungesubilia kidogo
Zipo tayari watapewaHabari!
Mambo yasiwe mengi ngoja niweke mada mezani.
Hivi kuna mtumishi wa umma aliyepokea barua ya kupandishwa daraja mpaka sasa tangu tulipoahidiwa May 1, 2021?
ArumeruHalmashauri ya ngara tayari
Wamefanyaje?Arumeru
Siku hizi subira kawa boya kinyama, ameacha kuvuta heri sasa anavuta bangiSubira yavuta heri
mbona umetugundua mapema hivi mkuu, au we ni mwenzetu???Kuna movie inataka kuchezwa kupitia opras
Ulichokiandika ni kweli mkuu 100%.Mimi halmashauri niliyoopo tulipewa barua tar 1.6.2021 na ndio tar iliyoonekana kwenye barua ,hivyo nimeanza kuhesabu kuanzia tar moja ya mwez huu ,nisipoona mabadiriko ya salary mwezi huu kwa lugha nyepesi itabidi baadae nije niandike barua ya madai hadi pale salary itakapo change .
Jambo jema Nina barua mkononi tayal,.
Pia nikutoe waswas mleta hii topic ni kwamba halmashaur yenu wako smart sana wanataka mpewe barua mkishaona mabadiriko ,ila niamini Mimi barua nchi nzima ziko tayali maana hili ni agizo na walipewa onyo kuwa kama watapata malalamiko ya watu kutopandishwa vyeo wakati wana sifa maafisa utumishi watapoteza kazi akiwemo mkurugenzi na maafisa elimu ,kwahiyo hakuna mtu wa kuzembea kwa hili na ukizingatia wakurugenz soon file lao linatoka ,hakuna mkurugenz wa kukubali kufeli dakika za lala salama ,bora atolewe kwenye ishu zingine ila sio ishu ya vyeo .
Hakuna kipindi kigumu kama hiki wanapitia maafisa utumishi yaan wako bize Zaid ya ujuavyo ,naongea haya coz nimejionea kwa macho yangu ,yaan wao na computer muda wote.
Ndiyo zipo nyingi tu wameshapewa ambazo nina mifano hai ni zaidi ya mbili kama sijasahau na nyingine wamepandika majina ili wahusika waone kama wamo.Habari!
Mambo yasiwe mengi ngoja niweke mada mezani.
Hivi kuna mtumishi wa umma aliyepokea barua ya kupandishwa daraja mpaka sasa tangu tulipoahidiwa May 1, 2021?
WapoHabari!

Kumbe na Wewe ni mtumishi wa Umma??. Nashukuru kwa kulijua hilo.Habari!
Mambo yasiwe mengi ngoja niweke mada mezani.
Hivi kuna mtumishi wa umma aliyepokea barua ya kupandishwa daraja mpaka sasa tangu tulipoahidiwa May 1, 2021?
Hata Mimi nimenusa jambo.Kuna movie inataka kuchezwa kupitia opras
Habari ndiyo hii Sasa. Ukiona boom limepaa June 23 Basi dai barua yako
View attachment 1813632
Ukiondoa wazee ni kwamba watumishi karibu wote Tanzania wana sifa za kupanda madara. Maana watumishi wa Tanzania karibu wote waliajiriwa 2016 April kurudi nyuma.Mimi halmashauri niliyoopo tulipewa barua tar 1.6.2021 na ndio tar iliyoonekana kwenye barua ,hivyo nimeanza kuhesabu kuanzia tar moja ya mwez huu ,nisipoona mabadiriko ya salary mwezi huu kwa lugha nyepesi itabidi baadae nije niandike barua ya madai hadi pale salary itakapo change .