Hivi kuna mtumishi wa umma aliyepokea barua ya kupandishwa daraja mpaka sasa?

Hii nchi ngumu sana asee, afu unakuta mijitu fulani inajilipa tu miposho ya mamilioni huko BOT, bungeni n.k
Maza mwenyewe naona ni mtu wa mauzo tu.
Sasa suala la mama yako kujiuza sisi linatuhusu nini kijana, acha afanye ayo mauzo mpate kula
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom