mkosafedha
JF-Expert Member
- May 19, 2015
- 1,330
- 277
Siku zote ni CCM ndio inayopigiwa kura. Hao wengine ni wasindikizaji tu
Nafikiri atakaemoigia kura magufuli atakua chizi kama mgombea wenu.c anatumia vidonge vya uchizi.
Siku zote ni CCM ndio inayopigiwa kura. Hao wengine ni wasindikizaji tu
Nauliza swali hilo kwa kigezo kimoja tu nacho ni wizi wa mali ya umma.
Lowassa anatuhumiwa kwenye wizi wa Richmond bila ushahidi wowote ule mpaka sasa. Wanaomtuhumu ni walewale ambao wanaoweza kuwa na ushahidi ambao kama kweli alikwapua basi walitakiwa wawe wameshamburuta mahakamani tangu wakati ushahidi ulipopatikana kama kweli wanauchukia wizi wa mali ya umma na kama kweli wao wenyewe sio wezi.
Magufuli sio tu anatuhumiwa bali kuna ushahidi wa kitaalam uliotolewa na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) ukimuhusisha na taarifa za uongo za kudai mabilioni ya pesa yametumika kujenga barabara wakati sio hivyo. Ni wazi kwamba Magufuli kakwapua hizo hela na hivyo HAFAI KUKAA IKULU HATA SEKUNDE MOJA.
Sasa jiulizeni hivi CCM imeshindwa kuja na mgombea wake ambaye sio mwizi? Kwa nini waweke mgombea ambaye ni mwizi kama wao wenyewe sio wezi?
Kifupi ni kwamba Magufuli atapigiwa kura tu na wezi wenzake wanaoliibia taifa hili usiku na mchana bila kunawa na hivyo kulifanya taifa hili lenye rasilimali lukuki kuendelea kuwa taifa masikini.
Watanzania wote wenye uchungu na nchi yao kama wamepewa kuchagua wa kumpigia kura kati ya mtu anayetuhumiwa tu bila ushahidi wowote na ambaye ameshathibitishwa kwamba ni mwizi na taasisi maalum yenye utaalamu kuhusu uthibitishaji huo basi watapiga kura kwa yule ambaye hajathibitishwa kwamba ni mwizi.
Je wewe kura yako iko kwa nani kati ya hawa wawili?
Sifikirii kama kuna mtanzania yeyote mwenye akili timamu anaweza kumpigia kura fisadi Lowassa ambae kwa zaidi ya miaka 8 amekuwa akipewa tuhuma za ufisadi na viongozi ambao walituaminisha kuwa ni fisadi halafu leo kwa miezi mitatu tu wanataka kutuaminisha kuwa fisadi Lowassa ni mtu safi. Kwa kweli watanzania hasa wale wazalendo tunataka mabadiliko, lakini si haya ya kununuliwa na mafisadi tunaowajua kwa zaidi ya miaka 8 na kujaribu kuwasafisha kwa miezi 3.
Unauliza kushtakiwa kwa Lowassa? Teh teh teh Butiku ameshawajibu hilo swali, acheni kushabikia ujinga hiv kumbe huwa mnabwabwaja tu humu JF bila kufatilia haya mambo kwa kina.
Lowasa hafai hafai hafai ni mchafu sanaaaaaaaaàa! Kwani Richmond report ya CAG ilisemaje tena mbaya zaidi ikaudwa tume ya mwakembe bado Yale Yale au ujui unalolinena VIP!!!!! Msitake Kusafisha huyu mtu kama ni embe basi limeoza, hivi unawezaje amua kuoa Malaya eti kwa sababu amejichanganya na wanawake wanaojieshimu na kuacha kuoa mwanamke ambae si malaya eti kisa kajichanganya na kindi la Malaya, magufuri na lowasa ningewafananisha na mwanamke basi wote ningesema Malaya ila lowasa angekuwa Malaya aliye kubuhu anaetakiwa kupewa jina la kipekee!!!!!! Lowasa hafaiiiiiii hata citaji kuumiza kichwa kumpiga chini tar 25 asubuhi hata misa ya kwanza kuisha
Jibu lipi? Butiku ni nani? Yeye ndio mahakama? Yeye ndie mwenye ushahidi wa kuupeleka mahakamani? Yeye ndie aliyeibiwa? Hili ni jukumu la Serikali na Serikali imekaa kimya bila kuchukua hatua yoyote ile ya kisheria dhidi ya Lowassa. Hivyo ni wazi kwamba wezi hapa ni Serikali na si Lowassa kwani kama angekuwa Lowassa wangeshamburuta mahakamani kitambo tu. Lakini kwa sababu wezi ni Kikwete na Serikali yake basi wamekaa kimya bila kuchukua hatua yoyote kurudisha mabilioni yaliyopotea. Na badala yake wanatuletea mwizi mwenzao Magufuli aliyekubuhu na kuthibitishwa (sio kutuhumiwa) na chombo chenye mamlaka ya kiutaalam na kiufundi wa kutoa uthibitisho wa wizi wa mali ya umma (CAG) eti tumpigie kura ili waendeleze wizi wao na kuupanua zaidi kwani Magufuli itabidi atakapokuwa anaiba azidishe kiwango ili waliomuweka pale nao wapate mgao wao.
Aliyeanzisha huu uzi apimwe akili....hajielewi
Umeelewa swali langu?
NAKURAHISISHIA:Ile orodha ya Mwembeyanga ilikuwa ya mafisadi au siyo mafisadi?
Halafu naona umekomaa na Richmond pekee,kwa taarifa yako Lowassa mlimtaja fisadi kabla ya Richmond.
Sasa hivi unahangaika na ajira kitaaLowassa mpango wa Mungu lazima aingie IKULU mwaka huu mtake msitake wajinga wakubwa mnaongelea mambo ya wizi cha muhimu ni mabadolilo team UKAWA ndio watakaoendesha nchi wamemtumia EL kuoondoa ccm madarakani na hakuna atatayezuia mabadiloko haya mambo ya afya peleka hayahusiani na maendelea ya nchi hii kama hamtaki mabadiliko mkale malimao na mafisadi wenu ccm watesi na waonevu wakubwa.