Gangongine
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 3,854
- 1,776
Nawashauri ninyi vijana mnaopoteza muda wenu humu kupiga Kampeni na kuwaza kwamba CDM inaweza kwenda Ikulu kwamba hilo halitawezekana labda;
(a) Wabadili utaratibu wa kutafuta Wagombea kwa kutopokea "Makapi" yaliyoachwa na CCM;
(b) Wawe na ajenda wanayoisimamia badala ya kusafiria umaarufu wa muda mfupi wa mtu fulani. Hakika kitendo cha kuacha itikadi yao ya kupigania Rasilimali za Umma na kupinga Ufisadi ndio walijimaliza na hawataibuka tena;
(c) Waachane na Ukabila na Ukaskazini kabisa! Chama kinachojipambanua kwa makabila fulani hakifai kabisa na kamwe kisiote kwenda Ikulu;
(d) Wafahamu kwamba mazingira ya mwaka 2015 hayatakuja kutokea tena huko mbele. Kama wanawaza kuwa wana mgombea tayari imekula kwao kwa kuwa hawezi kushinda 2015 na baada ya hapo; na
(e) Waelewe kwamba mtu mwenye dhamira ya kweli ya kuwatumikia Watanzania hawezi kuutafuta Urais kwa nguvu, kwa gharama na kwa namna yoyote! Ukiona hivyo huyo ana ajenda zake binafsi
Suluhisho ni kuandaa Vijana wawe Wagombea na kurudi kwenye misingi ya asili. Ni ukweli mchungu lakini wenye akili wanaelewa nasema nini!
Peopleeeeeeeeees!!