Hivi kuna mtu kweli anawaza CDM hii kushika Dola? Thubutuuu!

Gangongine

JF-Expert Member
Dec 31, 2015
3,856
2,000
Nawashauri ninyi vijana mnaopoteza muda wenu humu kupiga Kampeni na kuwaza kwamba CDM inaweza kwenda Ikulu kwamba hilo halitawezekana labda;
(a) Wabadili utaratibu wa kutafuta Wagombea kwa kutopokea "Makapi" yaliyoachwa na CCM;
(b) Wawe na ajenda wanayoisimamia badala ya kusafiria umaarufu wa muda mfupi wa mtu fulani. Hakika kitendo cha kuacha itikadi yao ya kupigania Rasilimali za Umma na kupinga Ufisadi ndio walijimaliza na hawataibuka tena;
(c) Waachane na Ukabila na Ukaskazini kabisa! Chama kinachojipambanua kwa makabila fulani hakifai kabisa na kamwe kisiote kwenda Ikulu;
(d) Wafahamu kwamba mazingira ya mwaka 2015 hayatakuja kutokea tena huko mbele. Kama wanawaza kuwa wana mgombea tayari imekula kwao kwa kuwa hawezi kushinda 2015 na baada ya hapo; na
(e) Waelewe kwamba mtu mwenye dhamira ya kweli ya kuwatumikia Watanzania hawezi kuutafuta Urais kwa nguvu, kwa gharama na kwa namna yoyote! Ukiona hivyo huyo ana ajenda zake binafsi
Suluhisho ni kuandaa Vijana wawe Wagombea na kurudi kwenye misingi ya asili. Ni ukweli mchungu lakini wenye akili wanaelewa nasema nini!
Peopleeeeeeeeees!!
 
Allen Kilewella

Verified Member
Sep 30, 2011
13,506
2,000
Kujibu huo ujinga kwa sasa hatujishughulishi, sasa tunafuatilia juhudi zenu za kuuzima huu mtandao ambao inawezekana UNAWAKERA sana kuliko mnavyokereka na shida za Watanzania!!
 
ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 31, 2016
7,710
2,000
Huna hoja za ''kulewea' kama jina lako!!
Ulivyo jibu hapa nimegundua wewe ni mtu WA akili Gani..siendelei kujibu hoja za post yako nawaachia wengine watakaoamua kujibu
Naona vyema Sasa nijiweke pembeni
Free our max
Back our Ben
Justice for lema
 
bnhai

JF-Expert Member
Jul 12, 2009
2,335
2,000
Yaani CDM hawatapata fursa tena kama 2020. Hivi kutuletea ndege kwa ukimya na hofu ndio mahitaji yetu Watanzania.
 
kaskas

Senior Member
Nov 1, 2010
158
250
Nawashauri ninyi vijana mnaopoteza muda wenu humu kupiga Kampeni na kuwaza kwamba CDM inaweza kwenda Ikulu kwamba hilo halitawezekana labda;
(a) Wabadili utaratibu wa kutafuta Wagombea kwa kutopokea "Makapi" yaliyoachwa na CCM;
(b) Wawe na ajenda wanayoisimamia badala ya kusafiria umaarufu wa muda mfupi wa mtu fulani. Hakika kitendo cha kuacha itikadi yao ya kupigania Rasilimali za Umma na kupinga Ufisadi ndio walijimaliza na hawataibuka tena;
(c) Waachane na Ukabila na Ukaskazini kabisa! Chama kinachojipambanua kwa makabila fulani hakifai kabisa na kamwe kisiote kwenda Ikulu;
(d) Wafahamu kwamba mazingira ya mwaka 2015 hayatakuja kutokea tena huko mbele. Kama wanawaza kuwa wana mgombea tayari imekula kwao kwa kuwa hawezi kushinda 2015 na baada ya hapo; na
(e) Waelewe kwamba mtu mwenye dhamira ya kweli ya kuwatumikia Watanzania hawezi kuutafuta Urais kwa nguvu, kwa gharama na kwa namna yoyote! Ukiona hivyo huyo ana ajenda zake binafsi
Suluhisho ni kuandaa Vijana wawe Wagombea na kurudi kwenye misingi ya asili. Ni ukweli mchungu lakini wenye akili wanaelewa nasema nini!
Peopleeeeeeeeees!!
Hoja zako ni za kitoto sana sanaaa, CUF walipokua na nguvu waliitwa chama cha waisilamu, Chadema ilipopata nguvu ikaanza kuitwa chama cha watu wa kaskazini kwa sababu viongozi wanatoka kanda hiyo. Je ni sawa sasa hivi kusema CCM ni chama cha wasukuma kwa sababu mkuu anatoka huko?
 
kiomboi

JF-Expert Member
Dec 18, 2011
330

Unatafuta ukuu WA wilaya?
 
hardboy

JF-Expert Member
Dec 2, 2016
795
1,000
Kama ingejuwa sio wizi wa kura mbona kitambo tu, Igekuwa ineshashika dola.lla majizi ccm hayataki kuachia dola kwani wananchi haiwataki tena.
 
Gangongine

JF-Expert Member
Dec 31, 2015
3,856
2,000
Hoja zako ni za kitoto sana sanaaa, CUF walipokua na nguvu waliitwa chama cha waisilamu, Chadema ilipopata nguvu ikaanza kuitwa chama cha watu wa kaskazini kwa sababu viongozi wanatoka kanda hiyo. Je ni sawa sasa hivi kusema CCM ni chama cha wasukuma kwa sababu mkuu anatoka huko?
Usilinganishe CCM na mambo ya ovyo. CCM siyo chama cha mtu mmoja kuamua nani awe Mwenyekiti. Acha kabisa masikhara yako wewe!
 
mr sangoyi

JF-Expert Member
Dec 27, 2014
274
250
anaheri afanyae mapenzi na mbwa na kikatoka kiumbe kisichoeleweka kuliko aziniye na binadamu akapata viumbe kama wa mitaa ya lumumba
 
Gangongine

JF-Expert Member
Dec 31, 2015
3,856
2,000
anaheri afanyae mapenzi na mbwa na kikatoka kiumbe kisichoeleweka kuliko aziniye na binadamu akapata viumbe kama wa mitaa ya lumumba
Mambo haya ndiyo yanasababisha mtafutwe! badala ya kujibu hoja unalenga bangi zako!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom