Hivi kuna mtu aliwahi kuwa waziri kamili Alafu akatenguliwa then teuzi za baadae akawa naibu waziri? Utawala huu yanaweza

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,636
30,004
Tuwe wakweli Manunguniko ni mengi sana,

Kwenye Nani ni nani Mgombea wa CCM mtatiro aliwahi kusema
"Moja ya Mapungufu aliyonayo waziri Magufuli ni kufanya maamuzi ya haraka ambayo mengi huwa mazuri lakin mengine baadae uyatafakari na kusema bora ningewaza zaid kabla ya kuamua"

Sasa maamuzi hayo Mzee wetu huyu ameyapunguza lakin kwa ndani ndani bado yapo,
Ndo maana utaona anaweza kuamua jambo la kitaifa hata kama ni zuri bila kushirikiana na wenzake kama Bunge na Mahakama,

Tusishangae ipo siku anawakumbuka ambao amewahi kuwatumbua na kuwapa unaibu waziri,

Je wataukubali huo unaibu waziri?
Nahisi wengi watasema mkuu hapana,
 
kuludi kulekule sijui ila baadhi yao wanaweza kukubali kukataa cheo mmmmh ni ngumu kidogo japo ukikumbuka nyuma lazima utaumia ila utapiga moyo konde ili kupunguza jazba na vijiaibu vilivyobakia
 
Japo siyo directly related to your qsn, ila nakumbuka;

Cleopa Msuya aliwahi kuwa Waziri Mkuu, baadaye akaja kuwa waziri wa kawaida ila sikumbuki alikuwa wizara gani.

Kawawa naye alipata kuwa Waziri Mkuu, baadaye akaja kuwa waziri wa kawaida kama sijakosea alikuwa waziri asiye na wizara maalumu
 
Hivi huruhusiwi kukataa hizi teuzi?.. au ni njaa kali mjini?..
Umetumbuliwa baadae unateuliwa na wewe unaacha mambo yako unarudi hujafikiria kesho akiamka akafanya kama juzi itakuaje kwa maendeleo yako?..
 
CCM hawan ahuo ubavu wa kiakili ndio maana kapteni anaweza kuwa mkuu wa mkoa na Brigedier akawa mkuu wa wilaya ktk huo huo mkoa na life ikaenda. Hata marais wastaafu wakiitwa kuwa mawaziri wakuu sio ajabu wakakubali.
 
Back
Top Bottom