Hivi kuna mto unatoka baharini na kutiririsha maji yake kwenda sehemu nyingine

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
24,685
26,779
Muda mwingine huwa najikalia zangu huku stendi basi yananijia mawazo alafu nikishindwa kujipa jibu nawaletea huku.

Sasa nimekaa nikwaza je!kuna mto unatoa maji yake baharini na kurlendekea kutiririka kuendelea sehemu nyingene?na kama upo hayo maji sasa yanaendaga wapi.kitu kingine nikajiuliza hivi inakuwaje maji ya mto kama mnavyojua yanatiririka kuelekea baharini yakiwa mtoni ni maji baridi ila yakija fika kwenye bahari yanakuwa ya chumvi je!nini kinasababisha yanakuwa na chumvi.

Kinginine ni hawa viumbe samaki wanaoishi humo baharini je,inakuwaje wakiwa baharini kwenye maji chumvi ukiwaingiza kwenye maji baridi kwa nini hawaishi wakati maji ni hayo hayo sasa na hao wa maji baridi ukiwaingiza kwenye maji chumvi nao hawaishi.hivi hii huwa ina changiwa na nini.
 
Hakuna mto kutoka baharini. Mito yote huenda baharini.
 
Jiografia ulisoma primary au ulisoma shule za ufundi(tecnical)?
 
Samaki hufa kwa sababu ya OSMOSIS yaani cells za samaki wa baharini zinakiasi kikubwa cha chumvi hivyo tukimpeleka ziwani cells zitaanza kufyonza maji kwa sababu maji ya ziwa hayana chumvi...cells zitaendelea kufyonza hadi zitaanza ku-burst, cell zikifa basi samaki nae atakufa.
 
Kuhusu samaki. Mfano mzuri: Gari inayotumia petrol ukiweka diesel engine inakufa, lakini yote ni magari. Creation: kila kiumbe kiliumbwa in consideration ya sustainability ya mazingira yake
kumbuka pia petrol au mafuta ya taa haya changa nyikani na maji ndivyo hivyo hivyo maji ya mito yalivyo baharini
 
Muda mwingine huwa najikalia zangu huku stendi basi yananijia mawazo alafu nikishindwa kujipa jibu nawaletea huku.

Sasa nimekaa nikwaza je!kuna mto unatoa maji yake baharini na kurlendekea kutiririka kuendelea sehemu nyingene?na kama upo hayo maji sasa yanaendaga wapi.kitu kingine nikajiuliza hivi inakuwaje maji ya mto kama mnavyojua yanatiririka kuelekea baharini yakiwa mtoni ni maji baridi ila yakija fika kwenye bahari yanakuwa ya chumvi je!nini kinasababisha yanakuwa na chumvi.

Kinginine ni hawa viumbe samaki wanaoishi humo baharini je,inakuwaje wakiwa baharini kwenye maji chumvi ukiwaingiza kwenye maji baridi kwa nini hawaishi wakati maji ni hayo hayo sasa na hao wa maji baridi ukiwaingiza kwenye maji chumvi nao hawaishi.hivi hii huwa ina changiwa na nini.
Yaan unatudhihirishia ya kuwa somo la GEOGRAPHY lilikuwa gumu kwako ...topic ya RIVER 😆😆😆
 
Samaki hufa kwa sababu ya OSMOSIS yaani cells za samaki wa baharini zinakiasi kikubwa cha chumvi hivyo tukimpeleka ziwani cells zitaanza kufyonza maji kwa sababu maji ya ziwa hayana chumvi...cells zitaendelea kufyonza hadi zitaanza ku-burst, cell zikifa basi samaki nae atakufa.
Ahaa.. na je nini kinafanya maji kuwa na humvi wakati yakiwa mtoni kuelekea baharibi hayana kabisa
 
kumbuka pia petrol au mafuta ya taa haya changa nyikani na maji ndivyo hivyo hivyo maji ya mito yalivyo baharini
Sasa kwa nini wakati maji yanatoka mtoni kwenda baharini na nini kinafanya yakifika baharini yawe na chumvi wakati yakiwa mtoni hayana chumvi
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom