wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 24,685
- 26,779
Muda mwingine huwa najikalia zangu huku stendi basi yananijia mawazo alafu nikishindwa kujipa jibu nawaletea huku.
Sasa nimekaa nikwaza je!kuna mto unatoa maji yake baharini na kurlendekea kutiririka kuendelea sehemu nyingene?na kama upo hayo maji sasa yanaendaga wapi.kitu kingine nikajiuliza hivi inakuwaje maji ya mto kama mnavyojua yanatiririka kuelekea baharini yakiwa mtoni ni maji baridi ila yakija fika kwenye bahari yanakuwa ya chumvi je!nini kinasababisha yanakuwa na chumvi.
Kinginine ni hawa viumbe samaki wanaoishi humo baharini je,inakuwaje wakiwa baharini kwenye maji chumvi ukiwaingiza kwenye maji baridi kwa nini hawaishi wakati maji ni hayo hayo sasa na hao wa maji baridi ukiwaingiza kwenye maji chumvi nao hawaishi.hivi hii huwa ina changiwa na nini.