Hivi kuna mto unatoka baharini na kutiririsha maji yake kwenda sehemu nyingine

Sasa kwa nini wakati maji yanatoka mtoni kwenda baharini na nini kinafanya yakifika baharini yawe na chumvi wakati yakiwa mtoni hayana chumvi
Yanachanganyikana,na kea sababu baharini kuna chumvi nyingi yote yanakuwa ya chumvi, chukua mfano wa pipa lenye lita 200 za maji ya chumvi(ya bahari) ukaamua kumwaga humo glasi moja iliyoisha maji Safi ya kunywa yasiyo na chumvi kabisa,jawabu lake ni kwamba hizo lita 200 za maji ya bahari yataendelea kuwa na chumvi ka vile hakuna maji fresh yaliyomwagwa humo,hivyo ndivyo bahari ilivyo.
 
Hivi ukimchukua samaki wa maji chumvi ukamtoa na kumweka kwenye maji baridi halafu hayo maji ukachanganya na chumvi ya kawaida samaki atasavaivu au atadedi?

Anyway
(swali la kiwaki kufurahisha genge tu)
😂😂😂😂😂
 
Samaki hufa kwa sababu ya OSMOSIS yaani cells za samaki wa baharini zinakiasi kikubwa cha chumvi hivyo tukimpeleka ziwani cells zitaanza kufyonza maji kwa sababu maji ya ziwa hayana chumvi...cells zitaendelea kufyonza hadi zitaanza ku-burst, cell zikifa basi samaki nae atakufa.
Samaki salmon anaishi baharani ila mazalio yake maji baridi.
 
Yanachanganyikana,na kea sababu baharini kuna chumvi nyingi yote yanakuwa ya chumvi, chukua mfano wa pipa lenye lita 200 za maji ya chumvi(ya bahari) ukaamua kumwaga humo glasi moja iliyoisha maji Safi ya kunywa yasiyo na chumvi kabisa,jawabu lake ni kwamba hizo lita 200 za maji ya bahari yataendelea kuwa na chumvi ka vile hakuna maji fresh yaliyomwagwa humo,hivyo ndivyo bahari ilivyo.
Hivyo hivyo muungano kuchanganya malaki na mamilioni. Ndio muhimu wa hat au za makusudi kulinda tamaduni za mzanzibari.
 
Mito humwaga maji baharini,je samaki anaweza toka mtoni kwenda baharini,au kinyume chake?..
Iko hivi mito inapoingia baharini na samaki wa maji baridi wakikaribia pale delta (maji ya mto yanapoingia baharini) hugeuza na kurudi kufuata maji baridi kwa sababu hawawezi kuishi maji chumvi.
 
Samaki hufa kwa sababu ya OSMOSIS yaani cells za samaki wa baharini zinakiasi kikubwa cha chumvi hivyo tukimpeleka ziwani cells zitaanza kufyonza maji kwa sababu maji ya ziwa hayana chumvi...cells zitaendelea kufyonza hadi zitaanza ku-burst, cell zikifa basi samaki nae atakufa.
Samahani Mkuu hivi nikichukua maji baridi nikatia chumvi ya kawaida Alaf nkamtia samaki wa baharini je ataishi au.
 
Na na yale maji ya mto yakiwa hayana chumvi yakifika baharini nini kinayafanya yawe na chumvi
Jibu ni rahisi yanakuwa ya chumvi kwa sababu yanachanganyika na maji ya chumvi hata wewe chukua glass mbili moja ina maji yasiyochumvi na ingine maji ya chumvi chukua yale maji yasiyochumvi changanya kwenye glass ya maji ya chumvi ukionja yale maji yasiyochumvi yatabadilika ni hivi tu
 
Muda mwingine huwa najikalia zangu huku stendi basi yananijia mawazo alafu nikishindwa kujipa jibu nawaletea huku.

Sasa nimekaa nikwaza je!kuna mto unatoa maji yake baharini na kurlendekea kutiririka kuendelea sehemu nyingene?na kama upo hayo maji sasa yanaendaga wapi.kitu kingine nikajiuliza hivi inakuwaje maji ya mto kama mnavyojua yanatiririka kuelekea baharini yakiwa mtoni ni maji baridi ila yakija fika kwenye bahari yanakuwa ya chumvi je!nini kinasababisha yanakuwa na chumvi.

Kinginine ni hawa viumbe samaki wanaoishi humo baharini je,inakuwaje wakiwa baharini kwenye maji chumvi ukiwaingiza kwenye maji baridi kwa nini hawaishi wakati maji ni hayo hayo sasa na hao wa maji baridi ukiwaingiza kwenye maji chumvi nao hawaishi.hivi hii huwa ina changiwa na nini.
Kuna sababu nyingi sana(kwa viumbe) yawezekana ni ecolojia na kwa mazingira ikawa ni sheria za asili zinazotawala ulimwengu.

Viumbe wa majini(Baharini) hawawezi kuishi nchi kavu. Hali ya hivyo viumbe huvitofautisha na uwezo wake.
 
Muda mwingine huwa najikalia zangu huku stendi basi yananijia mawazo alafu nikishindwa kujipa jibu nawaletea huku.

Sasa nimekaa nikwaza je!kuna mto unatoa maji yake baharini na kurlendekea kutiririka kuendelea sehemu nyingene?na kama upo hayo maji sasa yanaendaga wapi.kitu kingine nikajiuliza hivi inakuwaje maji ya mto kama mnavyojua yanatiririka kuelekea baharini yakiwa mtoni ni maji baridi ila yakija fika kwenye bahari yanakuwa ya chumvi je!nini kinasababisha yanakuwa na chumvi.

Kinginine ni hawa viumbe samaki wanaoishi humo baharini je,inakuwaje wakiwa baharini kwenye maji chumvi ukiwaingiza kwenye maji baridi kwa nini hawaishi wakati maji ni hayo hayo sasa na hao wa maji baridi ukiwaingiza kwenye maji chumvi nao hawaishi.hivi hii huwa ina changiwa na nini.
Mkuu, karibu wilayani Pangani mkoa wa Tanga ujionee miujiza ya Muumba, maji yanatoka mtoni yanaingia Baharini kisha yanarudi tena mtoni, yakiingia baharini kutoka mtoni yanakuwa yabaridi kabisa yakitoka baharini kurudi mtoni yanakuwa na chumvi tele,yakijaa baharini na mtoni yanajaa yakipungua baharini na mtoni yanapungua, huo mchezo niwakila siku hauna msimu.
 
Back
Top Bottom