LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 9,211
- 12,716
kama kibajaji na yule mtetea bangi musukuma wameweza kuwa wabunge nan atashindwa kuwa na sifa za kuwa mbunge?
Nimekupa fact moja ya kabudi, you have not refuted it! msikilize akiwa bado ni mtu wa akili na baada ya akili kukamia kwenye njia ya haja kubwa!Kabudi,
Naam, elimu pekee haitoshi kuna ingredients nyingine zinazo takiwa. Hebu angalia alicho kifanya juzi naibu spika na elimu yake yote ile. Kazima mjadala muhimu sana.Uwezo wa kibajaj ni zaidi ya daktari wenu hapo Ufipa!
msikilize please! Akiwa hajatupiwa mfupa na baada ya kutupiwa mfupa kama mbwa!Ushabiki wako kwa lile unalopenda ndio linakuambia kuwa uko objective. Assad is a true Professor and so is Kabudi, mengine ni tarumbeta zetu za siasa ili kujifurahisha.
Magu ameshusha hadhi ya PhD kiasi kwamba hata kibajaji anaonekana mtuHahaha jonnyyyy strike again. Kibajaji hana uwezo wowote kinachombeba ni chama. Lakin ukimweka hadharan bila chama kuwa nyuma yake lazima apotee.
Nawaheshim sana walionizid elimu. Hujui ni madesa mangap wamepitia mpaka wamefika hiyo level halaf unamfananisha na mtu hata cheti cha secretary hana.
Nimemsikiliza. Good day.msikilize please! Akiwa hajatupiwa mfupa na baada ya kutupiwa mfupa kama mbwa!
https://www.jamiiforums.com/threads/kauli-za-prof-kabudi-kabla-na-baada-ya-kuwa-waziri.1396980/
Mkuu Usimsikilize Prof Tibaijuka,Tumia akili zako.Thinking ya Kibajaj ni ndogo sema ni muongeaji mzuri.Na anafaa kuvuruga hoja sio hoja za kujenga
Na udhaifu wake?Uwezo wa kibajaj ni zaidi ya daktari wenu hapo Ufipa!
Najiuliza tu maana sifa kuu ni kujua kusoma na kuandika pia usiwe mhalifu.
Niko na rafiki zangu wa kimasai na kimeru hapa nawafundisha KKK!
Maendeleo hayana vyama!
[/QUOT Labda Comrade Jingalao. Maana atakosa kigezo cha utimamu wa akili.
Tatizo sio sifa bali ni nia ya dhati na ya kijinga ya kumpendeza mfalme kwa kunajisi demokrasia. Ni kichaa tu anaweza kuharibu kitu kilichojengwa kwa gharama kubwa kiasi hiki(demokrasia ya vyama) Namkubali Mtikila RIP na msemo wake hii ni Apedomia ( unyani)Hii ni dhambi.kama kibajaji na yule mtetea bangi musukuma wameweza kuwa wabunge nan atashindwa kuwa na sifa za kuwa mbunge?
Pale Ufipa ni 500,000!hv form ya ubunge inauzwa? na kiasi gani