Hivi kuna mtanzania anayeweza kukosa sifa za kugombea ubunge?

crocodile

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
3,678
2,000
Ushabiki wako kwa lile unalopenda ndio linakuambia kuwa uko objective. Assad is a true Professor and so is Kabudi, mengine ni tarumbeta zetu za siasa ili kujifurahisha.
 

Sijijui

JF-Expert Member
Jan 14, 2018
7,893
2,000
Hahaha jonnyyyy strike again. Kibajaji hana uwezo wowote kinachombeba ni chama. Lakin ukimweka hadharan bila chama kuwa nyuma yake lazima apotee.
Nawaheshim sana walionizid elimu. Hujui ni madesa mangap wamepitia mpaka wamefika hiyo level halaf unamfananisha na mtu hata cheti cha secretary hana.
Magu ameshusha hadhi ya PhD kiasi kwamba hata kibajaji anaonekana mtu
 

Sandinistas

JF-Expert Member
Jul 5, 2013
2,336
2,000
Mkuu Usimsikilize Prof Tibaijuka,Tumia akili zako.Thinking ya Kibajaj ni ndogo sema ni muongeaji mzuri.Na anafaa kuvuruga hoja sio hoja za kujenga

Nimependa hii ya kuvuruga badala ya kujenga hoja. Inatukumbusha jinsi :alivyovuruga" kampeni ya uchaguzi mdogo Meru kwa matusi ya nguoni kipindi kile.
 

konyola

JF-Expert Member
Dec 13, 2016
2,239
2,000
Kwani Valentine Stressor alitawala miaka mingapi kule Sierra Leon? Idd Amin mingapi? Msikarir kwa kila dikteta atakaa more than 30 yrs nyie mpeni kichwa siku ikifika tutamuibua kwenye chemba la majitaka akiwa kalowana na kuchafuka na rangi nyeusi ya Sludge tutagonga makonzi kwenye hilo komwe
 

IPECACUANHA

JF-Expert Member
Feb 19, 2011
3,165
2,000
Tatizo sio sifa bali na mfumo na ujinga wa watawala katika kuelewa maana ya demokrasia ya vyama vingi. Aibu yao...
 

Ad majorem

JF-Expert Member
Aug 11, 2018
652
1,000
Labda Comrade JI
Najiuliza tu maana sifa kuu ni kujua kusoma na kuandika pia usiwe mhalifu.

Niko na rafiki zangu wa kimasai na kimeru hapa nawafundisha KKK!

Maendeleo hayana vyama!
[/QUOT Labda Comrade Jingalao. Maana atakosa kigezo cha utimamu wa akili.
 

IPECACUANHA

JF-Expert Member
Feb 19, 2011
3,165
2,000
kama kibajaji na yule mtetea bangi musukuma wameweza kuwa wabunge nan atashindwa kuwa na sifa za kuwa mbunge?
Tatizo sio sifa bali ni nia ya dhati na ya kijinga ya kumpendeza mfalme kwa kunajisi demokrasia. Ni kichaa tu anaweza kuharibu kitu kilichojengwa kwa gharama kubwa kiasi hiki(demokrasia ya vyama) Namkubali Mtikila RIP na msemo wake hii ni Apedomia ( unyani)Hii ni dhambi.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom