Hivi kuna Mbuge wa Tanzania anaeweza kuonyesha mali zake kama huyo Mike Sonko wa Kenya?

Jambazi

JF-Expert Member
Jan 18, 2014
16,642
18,643
13920654_1163187600386253_1420831962433912680_n.jpg
 
Aisee kwa Kenya Sonko ni bwana mdogo sana ,Kaguse mziki wa kina Kenyatta, Moi,William Ruto ,Raila na wengineo ndio maana Sonko haoni hatari mali zake kuwa kwenye public domain ,
 
Magari nayo ni assets au liabilities?
Kuna wabunge wanamiliki mashamba, majumba, hisa kwenye makampuni mbalimbali etc.
Huyo Sonko amejaza Liabilities hapo kwake.
 
Ingewezekana kwa bongo hapa, ningependa aanze Ngereja kuziweka hadharani
 
Tatizo la bongo inakuwa ngumu kuziweka hadharani maana mtu kabla ya kuchaguliwa unakuta ana pair 2 tu za suti tena za mtumba, gari mfano wa scrapper na kama kajenga basi mbavu za mbwa. Lakini baada ya miaka 5 anashindana na kina Bakhresa. Nguo havai bali designer labels, ana magari ya kubadilisha kila siku ya wiki, ana nyumba kila wilaya. Hata ikiwa ni mimi sionyeshi ng'o.
 
Mbona vya kawaida hivyo? Kun wabunge wa ccm wana mandinga makali,mashamba yakutosha,mijengo,makampuni.
 
Back
Top Bottom