Hivi kuna maumivu makali zaidi ya haya Ndugu zangu?

rikiboy

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Messages
12,100
Points
2,000

rikiboy

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2017
12,100 2,000
nlipokua dogo wa miaka 7 nliwah kubanwa govi na zipu ya jinsi wakt nmemalz kukojoa,jinsi nlivyokua nakomaa kuiondoa zip nd nazid kujibana mwsho wazaz wakaon niend nkatailiwe moja kwa moj...aisee mpka leo cjawah kuhisi maumiv makal kama yale,nmesha achwa na madem nliokua nawapenda ila maumiv nliyoyapat hayafiki hat kdg !
Itakuwa zip iibana hasaa
 
clinical pharmacology2

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2018
Messages
950
Points
1,000

clinical pharmacology2

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2018
950 1,000
Nasema ivi hakuna maumivu makali zaidi ya haya
nlipokua dogo wa miaka 7 nliwah kubanwa govi na zipu ya jinsi wakt nmemalz kukojoa,jinsi nlivyokua nakomaa kuiondoa zip nd nazid kujibana mwsho wazaz wakaon niend nkatailiwe moja kwa moj...aisee mpka leo cjawah kuhisi maumiv makal kama yale,nmesha achwa na madem nliokua nawapenda ila maumiv nliyoyapat hayafiki hat kdg !
 
Security Code

Senior Member
Joined
Jul 9, 2019
Messages
170
Points
250

Security Code

Senior Member
Joined Jul 9, 2019
170 250
Mkuu hayo ni maumivu yenye kubakiza kovu mpaka siku Mungu anakupokea kupumzika mahali pema peponi.
Umenikumbusha kisa cha familia moja ilioishi maisha ya dhiki kwa miaka mingi mpaka pale watoto walipokuja kupigana na kuushinda umasikini bila elimu na kuwa familia yenye uwezo na ya kuheshimika lakini mama akatoa kauli moja tu familia ikarudi nyumbani(katika umasikini wa awali) na baadae vifo kwa baadhi ya watu ktk familia hiyo. Sikia kulea mtoto sii wako.
Kufiwa na ndugu au rafiki wa karibu.
Kulea watoto alafu baadae unakuja kujua ukweli na kuthibitisha sio wako..

Maumivu gani mengine makubwa ndugu zangu???
 
Forum statistics

Threads 1,356,889
Members 518,959
Posts 33,140,392
Top