Hivi kuna maumivu makali zaidi ya haya Ndugu zangu?

Buffet

JF-Expert Member
Aug 11, 2018
586
1,000
Moyo wangu unauma, nashindwa kufanya chochote. Nahitaji kumuondoa huyu mtu kichwani mwangu nashindwa.
pole sana rafiki yangu,ulikosea awali ulipoamini kuwa fraha yako inatokana na anayesababisha Leo upitie hiyo hali,lakin hujachelewa,,,,,anza kujifundisha na kujishawishi ww mwenyewe kuwa inaweza ukawa chanzo cha amani na fraha yako,kuwa karibu na mungu unayemwamini,muombe japo akufumbulie hili fumbo aliloruhusu upitie,zaid mwambie akuimarishe na kukufundisha njia nzuri ya kupitia ktk kipind hiki kigum,usiopt kutumia pombe,madawa na vilevi vyovyote kama njia ya kujifariji,akuepushe na maamuzi ya kuangukia ktk umalaya kama namna ya kuseek for your happiness and best goals,anza sasa,taratibu utakuwa okey,natamani uwe sawa,,,,,,,,,I hope utakuwa sawa coz u are the one who can mould your own track in the ways you wish and like
 

Kizibo

JF-Expert Member
Jul 3, 2018
1,224
2,000
Ushagongesha ugoko kwenye mwamba ukiwa umelewa? Au unaogelea ziwani?

Au ushawahi ona kitu cha mviringo ukadhani ni mpira ukapiga bonge la shuti... kumbe jiwe!??
Hahahahaaaaaaa...au kujikwaa asubuh kukiwa na barid ukiwa unaenda shamba
 

Petjohsimba

Senior Member
Oct 9, 2018
168
250
nlipokua dogo wa miaka 7 nliwah kubanwa govi na zipu ya jinsi wakt nmemalz kukojoa,jinsi nlivyokua nakomaa kuiondoa zip nd nazid kujibana mwsho wazaz wakaon niend nkatailiwe moja kwa moj...aisee mpka leo cjawah kuhisi maumiv makal kama yale,nmesha achwa na madem nliokua nawapenda ila maumiv nliyoyapat hayafiki hat kdg !
 
Top Bottom