Hivi kuna maumivu makali zaidi ya haya Ndugu zangu?

Jang-Bogo

JF-Expert Member
Nov 7, 2018
2,509
2,000
Ushawahi rusha teke juu ukaangua kisogo
Kaka hii ilishawah nitokea nikiwa primary.Nilikua najaribu kuiga chenga zile za Taribo West au Zinedine zidane za kupanda juu ya mpira halaf unazunguka nao.Bwana weeeew.Nilijikuta nimepiga kisogo chin nikahis kama kimepasuka.Nilipiga kelele kama mwehu kapandisha mapepo
 
kimwery

Member
May 15, 2019
90
125
hayo sio maumivu ndugu,hizo ni hisia hasi tu,hivi inayajua maumivu ya kuteleza ukiwa unaenfesha baiskeli halafu ukashuka kwny kiti cha dereva na kupigiza pumb* kwenye mgamba wa baiskeli???au maumivu ya kung'olewa kucha bila ganzi???kuna maumivu rafik yng acha kabisa,ushawahi kuumwa jino mkuu???
Huo mgamba wa baisikeli ninoma sikia kwa watu ila yasikutokee
 
luckyline

JF-Expert Member
Aug 29, 2014
11,106
2,000
Unamtumia PM mkaka, unajiandikisha maneno kama yote ya mahaba hakujibu halafu unamuona jukwaani anaendelea kukomenti kama kawaida. Hakuna maumivu kama hayo
Uwa nawaza ntaanzaje kumwendea mkaka pm hasa kwenye hizo ishu za mahusiano?Ntamwambia nini? Au mm mshamba?
Labda yeye aanze aisee
 
Jane Msowoya

JF-Expert Member
Aug 20, 2017
2,281
2,000
hayo sio maumivu ndugu,hizo ni hisia hasi tu,hivi inayajua maumivu ya kuteleza ukiwa unaenfesha baiskeli halafu ukashuka kwny kiti cha dereva na kupigiza pumb* kwenye mgamba wa baiskeli???au maumivu ya kung'olewa kucha bila ganzi???kuna maumivu rafik yng acha kabisa,ushawahi kuumwa jino mkuu???
Hahahaha nimechekaaaaaa
Jf rahaaa
 
Buffet

JF-Expert Member
Aug 11, 2018
586
1,000
Story of my Life 😭😭
narudia tena Cookie,hayo sio maumivu,hizo ni hisia hasi tu,hizo ni sawa na kucheka,kuhuzunika,kukasirika au kuogopa,maumivu acha yaitwe maumivu,mtu akitenda kosa kubwa la kuvunja sheria za nchi halaf akajifanya kichaa(kuzuga) ili akwepe mkono wa sheria,,,,,njia moja wapo ya kuprove ni kichaa ni kumfanya yy mwenyewe adhihirishe kuwa ni kichaa au laa,ulishawahi kulambishwa spoku au chuma cha moto kwenye ulimi ambacho kina joto zaid ya nyuzi za centigrade 100??hayo maumivu utalinganisha na nini????
 
dimaa

JF-Expert Member
Jul 30, 2016
2,734
2,000
hayo sio maumivu ndugu,hizo ni hisia hasi tu,hivi inayajua maumivu ya kuteleza ukiwa unaenfesha baiskeli halafu ukashuka kwny kiti cha dereva na kupigiza pumb* kwenye mgamba wa baiskeli???au maumivu ya kung'olewa kucha bila ganzi???kuna maumivu rafik yng acha kabisa,ushawahi kuumwa jino mkuu???
Mzee baba, ulishawahi hii ndudu?
 
Top Bottom