Hivi kuna maumivu makali zaidi ya haya Ndugu zangu?

rikiboy

rikiboy

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Messages
10,812
Points
2,000
rikiboy

rikiboy

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2017
10,812 2,000
Kufiwa na ndugu au rafiki wa karibu.
Kulea watoto alafu baadae unakuja kujua ukweli na kuthibitisha sio wako..

Maumivu gani mengine makubwa ndugu zangu???
 
B

Buffet

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2018
Messages
412
Points
1,000
B

Buffet

JF-Expert Member
Joined Aug 11, 2018
412 1,000
hayo sio maumivu ndugu,hizo ni hisia hasi tu,hivi inayajua maumivu ya kuteleza ukiwa unaenfesha baiskeli halafu ukashuka kwny kiti cha dereva na kupigiza pumb* kwenye mgamba wa baiskeli???au maumivu ya kung'olewa kucha bila ganzi???kuna maumivu rafik yng acha kabisa,ushawahi kuumwa jino mkuu???
 
rikiboy

rikiboy

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Messages
10,812
Points
2,000
rikiboy

rikiboy

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2017
10,812 2,000
hayo sio maumivu ndugu,hizo ni hisia hasi tu,hivi inayajua maumivu ya kuteleza ukiwa unaenfesha baiskeli halafu ukashuka kwny kiti cha dereva na kupigiza pumb* kwenye mgamba wa baiskeli???au maumivu ya kung'olewa kucha bila ganzi???kuna maumivu rafik yng acha kabisa,ushawahi kuumwa jino mkuu???
Hii ya pumbu balaa maana zinauma hatari
 
Forum statistics

Threads 1,335,206
Members 512,271
Posts 32,499,023
Top