Hivi kuna mahusiano gani ya mafuta ya taa na mashine ya kunyolea saloon (baber shop)

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
24,688
26,795
Yaani jana nimeenda saloon kurekebisha kidogo nywele na ndevu nikaingia saloon moja wapi mtaani ambayo sijawahi ingia hata hafi nilijutia baada ya kumaliza kunyoa maana ile mashine kwanza ilikuwa inatoa mlio fulani hivi utadhani ni nyuki umemfungia kwenye ganda la kiberiti kitupu.

Pale mezani kulikuwepo na vivhupa chupa vingi vingi pamoja na powder ila hivyo vichupa kuna kimoja alikibeba (kile kichupa ha mafuta ya cherehani)nikaona anabinyia mle mbele kwenye kisu/kiwembe cha mashine na ndipo akaendelea kuninyoa hapo hapo ndio nikasikia harufu ya mafuta taa kabisa,sema sikumuuliza maana niliona ningemtoa kwenye uwepo wa kazi.je!hayaafuta taa kwenye mashine yanasaidia nini mle?
Pasaka njema kwenu
 
Ungepata majibu sahihi kwa huyo aliyekutoa dongo
 
Yale ni mafuta tu ya kawaida wanatumia kama "grisi" (grease lubricant) kulainisha vyuma vilivyokaza, akinyoa bila hayo mafuta unaweza kugombana na kinyozi.

Inakuwa inavuta nywele bila kuzikata.
Ndio atumie yale ya taa
 
Yaani jana nimeenda saloon kurekebisha kidogo nywele na ndevu nikaingia saloon moja wapi mtaani ambayo sijawahi ingia hata hafi nilijutia baada ya kumaliza kunyoa maana ile mashine kwanza ilikuwa inatoa mlio fulani hivi utadhani ni nyuki umemfungia kwenye ganda la kiberiti kitupu.

Pale mezani kulikuwepo na vivhupa chupa vingi vingi pamoja na powder ila hivyo vichupa kuna kimoja alikibeba (kile kichupa ha mafuta ya cherehani)nikaona anabinyia mle mbele kwenye kisu/kiwembe cha mashine na ndipo akaendelea kuninyoa hapo hapo ndio nikasikia harufu ya mafuta taa kabisa,sema sikumuuliza maana niliona ningemtoa kwenye uwepo wa kazi.je!hayaafuta taa kwenye mashine yanasaidia nini mle?
Pasaka njema kwenu
Mafuta ya taa ni mepesi sana ndiyo sababu yanatumika pia kwenye ndegeulaya, huwekwa kwenye machine na anapokunyoa hudondokea kwenye ngozi yako ya kichwa na kupenya kuingia ndani ya ubongo kupitia vitundu vidogo vilivyopo kwenye ngozi yako, yakiufikia ubongo yanakufanya use kama kuku wa kisasa, lolote lisemwalo kwako ni ndiyo na kusifu, huo ni mradi wa CCM, unalo ndugu unalo.
 
Duu hivi leo umekula pilau wewe
 
Back
Top Bottom