Hivi kuna mahusiano gani kati ya nyimbo za bolingo na unywaji bia kwa wingi

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
24,688
26,796
Yaani ukikaa bar labda bajeti yako ilikuwa unywe bia labda 3 tuu ukalale zako alafu dj au muuza bar aweke hizi nyimbo za wanamuziki wa kongo za (bolingo) kadri nyimbo zinachanganya na wewe mnywaji unajikuta unazi meza tuu hadi bill inapokuja kuletwa unajikuta hela haitoshi hadi inakupelekea kukopa.
Hizi nyimbo za bolingo je, kuna uwekano/siri yoyote ya kufanya mnywaji azidishe kunywa?
 
Inayo kufanya unywe tu mpaka ela isitoshe wala sio nyimbo za bolingo ni pombe yenyewe unayo kunywa.
Sidhani maana kadri nyinbo zinazidi kubadilishwa unajisikia uzidi kukaa uendelee kunywa
 
Hahahhaha..ninechekaa sanaa...kweli bolingo na ngai ni nomaa....mm ukitaka nikeshee bar.wekaa bolingo tu..hatari san
 
Back
Top Bottom