Hivi kuna mahusiano gani kati ya kuzaa na kufulia?

Segito wa Kalenga

JF-Expert Member
Aug 28, 2014
609
855
Umuofia Kwenu!!

Ni matumaini sote tu wazima ama wenye hitilafu za kiafya as kuugua au kuuguliwa nawatia moyo yatapita na mtayashinda majaribu hayo.

Back to the topic natamani kujua ni kwa nini watu asilimia kubwa kama ni wanaume,wake zao wakipata tu mimba mambo yao yanaanza kwenda mrama.

Wengine hupoteza kazi ama kuanza kufulia taratibu na mwisho kufilisika mazima mapaka mtoto anapozaliwa ndipo ahueni hupatikana.

Na kwa kina mama wakipata mimba tu mahusiano yanaanza kuvurugika,hela inaanza kuisha kwenye nyumba,ugomvi usio na kichwa wala miguu na migundu kama yote.Je ni nini kipo nyuma ya hali hiyo?

Nakaribisha michango yenu.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom