Hivi kuna mafuta ya kubadili rangi ya nywele kuwa nyeusi?

G M S

JF-Expert Member
Mar 30, 2011
502
53
Wakuu tofauti na piko kuna mafuta ya kubadili rangi ya nywele kuwa nyeusi?

Je yanaitwaje na ni bei gani???
 
Mkuu nenda maduka ya SH.AMON kuna hii kitu inaitwa discreet.Mkuu ina akili sana
700045_1.jpg
 
Mwandendeule hii kitu ni bei kati ya shs 20,000/= na 35,000/= tuu na inachukua takriban week moja na nusu nywele kuwa full black kwa daily usage baada ya hapo ni weekly au kadiri upendavyo ila iko mwake sana
 
Je kwa sie wenye nywele fupi natural kipilipili nyekundu hayo mafuta yatatufaa? Ni mafuta gan ya kufanya kipilipili kiwe laini without kuweka dawa.thanks
 
Nisi kuhakikishie sana, ila nna muda wa takriban miezi 6 natumia hii kitu na sijaona madhara yeyote.Na pia huwa kuna karatasi yenye maelezo kuhusu jinsi ya kuitumia pamoja chemical composition yake.Sasa ni wewe mwenyewe mkuu kuamua kusuka au kunyoa (utajua style na aina ya wembe)
 
Mkuu haya mafuta, pia yanafanya nywele kunyooka au ni kuwa black tu??
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom