Inagharimu kiasi gani hii kitu mkuu?Mkuu nenda maduka ya SH.AMON kuna hii kitu inaitwa discreet.Mkuu ina akili sana
Mkuu nenda maduka ya SH.AMON kuna hii kitu inaitwa discreet.Mkuu ina akili sana
Mkuu haya mafuta, pia yanafanya nywele kunyooka au ni kuwa black tu??Nisi kuhakikishie sana, ila nna muda wa takriban miezi 6 natumia hii kitu na sijaona madhara yeyote.Na pia huwa kuna karatasi yenye maelezo kuhusu jinsi ya kuitumia pamoja chemical composition yake.Sasa ni wewe mwenyewe mkuu kuamua kusuka au kunyoa (utajua style na aina ya wembe)
Mkuu angalia basi PM yako kuna kitu kinahitajikaMkuu nenda maduka ya SH.AMON kuna hii kitu inaitwa discreet.Mkuu ina akili sana
Nayo ni aina ya mafuta.black america.