Hivi kuna mafuta ya kubadili rangi ya nywele kuwa nyeusi?

Mwandendeule hii kitu ni bei kati ya shs 20,000/= na 35,000/= tuu na inachukua takriban week moja na nusu nywele kuwa full black kwa daily usage baada ya hapo ni weekly au kadiri upendavyo ila iko mwake sana
Mwandendeule ni mafuta au?
 
Vaida hakuna kitu,,, nilishatumia sana haijasaidia
Na mi nilishatumia mkuu hiyo Vaida hamna kitu hadi nimeyaacha,,,

Msaada kwa aliyewahi kutumia hii kitu inaitwa Discreet alete mrejesho naskia ipo vizuri.
Screenshot_20171119-174325.png
 
Sasa na ndevu, moustache je? maana hizi mvi huwa hazichagui hazibagui.
 
Super vasmo,,pia ilikuwa nzr kama IPO mpaka sasa madukani
Mkuu hii super vasmol Nimeiangalia saivi kwenye mtandao kwa watu walioitumia wanasema sio nzuri na hamna hata mtu mmoja aliyeisifia kwa hiyo msijaribu kuitumia ,,

It's wastage of money don't buy it.
 
Mi ninakipilipili nataka nifuge nywele mwezi wa 10 naona zipo vilevile nitumie mafuta gan ila nataka ziwe natural
 
Mkuu hii super vasmol Nimeiangalia saivi kwenye mtandao kwa watu walioitumia wanasema sio nzuri na hamna hata mtu mmoja aliyeisifia kwa hiyo msijaribu kuitumia ,,

It's wastage of money don't buy it.
ina shida gani hii super vasmo?. mi nimetumia sana super black. ila toka nianze kutumia supervasmo nimeona ni the best nywele inapendeza sana. na inakaa muda mrefu unapaka kama mafuta. kama in a madhara tuambie tusije pata shida baadae.
 
Mkuu sijajua kama wanachokisema ni kweli ila kwenye mitandao wanasema kwamba inakemikali inayosababisha hadi nywele kukatika na ngozi ya kichwa kuwasha na inaacha madoa kwenye nguo au kwenye mito ya kitandani,,,

Ndo hivyo ila kama wewe ulishaitumia au bado unaitumia unaweza kuleta hapa mrejesho kama ni kweli maana maneno ya mitandao huwa siyaamini sana ili tuweze kuepukana na hii hali tuliyonayo asee.
 
Na kama yupo mtu anatumia mafuta yoyote mazuri ambayo mtu akiyapaka na nywele zinabadilika rangi kuwa nyeusi basi anaweza kutujuza please nasi tutumie
 
ina shida gani hii super vasmo?. mi nimetumia sana super black. ila toka nianze kutumia supervasmo nimeona ni the best nywele inapendeza sana. na inakaa muda mrefu unapaka kama mafuta. kama in a madhara tuambie tusije pata shida baadae.
Screenshot_20171122-114937.png
 
Back
Top Bottom