Uchaguzi 2020 Hivi kuna maana gani kuendelea kuyabakiza mabango ya Chagua Magufuli nchi nzima, wakati uchaguzi ushakwisha?

Chuki yako kwa Magufuli haitakusaidia bali utapata ugonjwa wa moyo bure! Relax
Msiwe na haraka kujaji. Kumbuka ni haki ya mtu kutoa maoni yake kusema chuki maana yake watu wasiseme?
Juzi Warioba alitaja sifa za mtu kuchaguliwa zilivokiukwa badala yake sifa za kipuuzi za spellings zikawekwa. Wagombea wakaenguliwa kwa sifa za hovyo.
Wako waliomtukana Jaji warioba kisa tu waonekane watiifu kwa mfalme. Tunapote!
 
Mbona marais wavi punde hawajajenga barabara nyingine ndefu kutoka Mtwara hadi mwanza au Dar to Arusha.
 
Dodoma kila kona, kuna taasisi hazijalipa watumishi posho lakini zimegharamia mabango ya kupongeza Rais kwa ushindi. Nilidhani barua rasmi ya taasisi kwenda kwa Rais ingetosha kuonesha wapo pamoja na sio hayo mabango
Yale mabango pale Dodoma yanasomeka ni ya NMB sasa sijui benki na siasa wapi na wapi!
 
Yale mabango pale Dodoma yanasomeka ni ya NMB sasa sijui benki na siasa wapi na wapi!

Ni shida sana, pia kuna la Benjamin Mkapa Hospital, kuna ATCL kuna Mamlaka ya wanyamapori pia nadhani na taasisi nyingine nyingi mitaa mbalimbali.

Inawezekana wameamua kufanya marketing kupitia jina la Rais wetu mpendwa.
 
Msiwe na haraka kujaji. Kumbuka ni haki ya mtu kutoa maoni yake kusema chuki maana yake watu wasiseme?
Juzi Warioba alitaja sifa za mtu kuchaguliwa zilivokiukwa badala yake sifa za kipuuzi za spellings zikawekwa. Wagombea wakaenguliwa kwa sifa za hovyo.
Wako waliomtukana Jaji warioba kisa tu waonekane watiifu kwa mfalme. Tunapote!
Chuki yako kwa JPM isifanye hata mabango yang'olewe wakati wewe hukuyaweka na wala huhusiki na masuala ya mabango barabarani. Huyo Mystery ni kati ya watu ambao hawapendi kusikia kuna mtu hapa duniani anaitwa Magufuli. Tunamfahamu sana
 
Back
Top Bottom