Hivi kuna kipindi maalum baada ya uchaguzi cha kupinga mahakamani matokeo ya ubunge?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi kuna kipindi maalum baada ya uchaguzi cha kupinga mahakamani matokeo ya ubunge??

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Gosbertgoodluck, Jan 26, 2011.

 1. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #1
  Jan 26, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Wataalam wa sheria naomba mnijuze.

  Hivi kuna kipindi maalum cha kupinga mahakamani matokeo ya uchaguzi wa mbunge? Nimedokeza na rafiki yangu mmoja ambaye yupo serikali kwenye kitengo nyeti kwamba HAZINA hawatoi hela kwa lengo maalum. Baada ya kupata jibu la swali langu nitaeleza alichoniambia rafiki yangu.
   
Loading...