Hivi kuna jipya kutoka kwa Rais Magufuli?

Kufuta ada bila kuajiri walimu je wanafunz watajifndsha wao? Lazma wafeli na wataendelea kufeli!
Hiyo ndio maana halisi ya kuongoza Tz ukiwapa elimu watasumbua ujuaji utakuwa mwingi kama hivi sasa hivyo ni bora walibaki waendelee kufeli ili wasije kutusumbua huko mbele
 
hicho nilichokiandika kinaendana na ulichouliza?

Naam, si umeuliza kama kuna jipya la Rais Magufuli?

Umesahau huyo mkwewe Lowassa anaeitwa Sioi alibambwa lini?

Na nimeuliza juu huko, amepata dhamana?
 
Mi sioni cha kuchangia najua kashashindwa na hatoweza kuipeleka hii nchi popote natabiri ifikapo 2019 hii nchi itakuwa taabani ccm wengi watakiama chamachao watamgeuka mkuu wao.sasaivi kipaumbele nikudanganya wananchi
 
Ajira amefeli
Mafisadi amefeli
Ahadi ya viwanda ashaanza kufeli
Kilimo kafeli
Digitali kafeli
Ana jipya gani kwa mfano?
Kipi cha zaidi?
Hana jipya wala lolote na hatadumu miaka mitano kwa hali hii
Hatadumu kwa miaka mitano, utampindua? Ndio ninyi mnaosababisha jf ionekane jukwaa la uchochezi
 
Naona Mmepewa Pouse ya nguvu na hamjui mtajinasua vipi na kujieject hamuwezi... na ukame ndio balaa... Sasa hivi pesa za Jasho zinarejesha akili vizuri michango ya kijinga ya harusi naona watu wanakwepa tu sikuhizi na imefikia hadi michango ya misiba nayo hali tete... Makanisani nao Namba inasomeka vizuri sana...
 
Mistari minne tu inakua sticky thread! Wakati mwingine huwa najiuliza kama moderator s huwa na akaunti za kawaida kama sisi! Sijaona umuhimu wa huu utoto kupewa hadhi hii!
 
Jaman iv mltegemea kuongozwa vyema kabsa na MTU alyesema rais wa kuweit n sadam Hussein....? Mmmmmhm, yan mi nljua tutaisoma namba tu
 
Ajira amefeli
Mafisadi amefeli
Ahadi ya viwanda ashaanza kufeli
Kilimo kafeli
Digitali kafeli
Ana jipya gani kwa mfano?
Kipi cha zaidi?
Hana jipya wala lolote na hatadumu miaka mitano kwa hali hii

Wishful thinking.
 
Back
Top Bottom